Michezo magazetini leo...

Michezo magazetini leo...

Status
Not open for further replies.
Completed Games
Today's Games Qualifier: 08/11/10 - 09/03/10 Qualifier: 09/07/10 Qualifier: 10/08/10 - 10/09/10 Qualifier: 10/12/10 Qualifier: 11/17/10 - 03/26/11 Qualifier: 03/29/11 Qualifier: 06/03/11 - 06/04/11 Qualifier: 06/07/11 - 08/10/11 Qualifier: 09/02/11 - 09/03/11 Qualifier: 09/06/11 Qualifier: 10/07/11 - 10/08/11 Qualifier: 10/11/11​

Wednesday, November 17, 2010​
Qualifier​

Group F - Maksimir Stadium
Expand
expandInfo.jpg

7621.gif

Croatia​
3 : 0
Final


Malta​
7715.gif


Match Stats | Match Trax
goal.gif
(19') Niko Kranjcar
goal.gif
(42') Niko Kranjcar
goal.gif
(81') Nikola Kalinic
Goals
yellow-card.gif
(74') Darijo Srna
Cards Massimo Grima (84')
yellow-card.gif

greenArrow.gif
(60') Nikola Kalinic
redArrow.gif
Mladen Petric

greenArrow.gif
(69') Ivo Ilicevic
redArrow.gif
Rakitic

greenArrow.gif
(78') Mario Mandzukic
redArrow.gif
Eduardo

Substitutions Ryan Fenech (70')
greenArrow.gif

Andre Schembri
redArrow.gif


Kevin Sammut (82')
greenArrow.gif

Daniel Bogdanovic
redArrow.gif


Paul Fenech (88')
greenArrow.gif

Gareth Scibarras
redArrow.gif



Group E - Olympiastadion
Expand
expandInfo.jpg

7657.gif

Finland​
8 : 0
Final


San Marino​
7745.gif


Match Stats | Match Trax
 
...Phiri awapiga mkwara wachezaji Send to a friend Wednesday, 30 March 2011 20:47

Doris Maliyaga na Clara Alphonce
KOCHA mkuu wa Simba, Patrick Phiri ametangaza hatari kikosini mwake akiwataka nyota wake kubadilika na kuwa makini ili kushinda mechi mbili walizobakiwa nazo kwenye Ligi, na kuweka wazi ndizo zitakamilisha mahesabu ya pointi wanazozihitaji kutetea ubingwa wao.

Phiri ambaye aliyerejea Jumapili kutoka Zambia alikokwenda baada ya mechi ya TP Mazembe kutokana na matatizo ya kifamilia na kukiacha kikosi chake kinachokabiliwa na mechi ngumu ya kimataifa itakayochezwa Jumapili dhidi ya TP Mazembe kikinolewa na Abdalah Kibaden ‘King'.

Baada ya TP Mazembe Simba inayoongoza Ligi Kuu kwa pointi 45, itakutana na JKT Ruvu Aprili 6 na kumaliza na Majimaji Aprili 10.Akizungumza na Mwananchi, Phiri alisema kuwa, hali imekuwa ya kiushindani zaidi na hasa timu wanazokutana nazo.

''Ligi imekuwa ngumu kila mechi ni ngumu kilichopo sasa ni kazi kuhakikisha tunashindana ili kushinda mechi hizo mbili zilizobaki,''alisema Phiri aliyedai muda waliobakiwa nao kukutana na Mazembe watahakikisha wanautumia vema ili wawafunge.

''Tunatakiwa kubadilika na kuwa siriazi ili kukamilisha malengo yetu ya kutetea ubingwa tuliyojiwekea,''aliongeza Phiri. Hata hivyo, Phiri alisema kuwa wachezaji wake hawakuitilia maanani mechi hiyo kutokana na TFF kuwa sogezea mbele mchezo huo kitu kilichowafanya wasitilie maanani mchezo huo na kuwazia zaidi mechi yao ya jumapili dhidi ya TP Mazembe ya Congo.

Alisema kitu kingine ambacho kilifanya washindwe kushinda mchezo huo wachezaji wake waliidharau Kagera na kuona kuwa ni mechi nyepesi wakati Kagera ni kati ya timu nzuri siku zote na imekuwa ikitoa upinzani mkubwa kila wanapokutana nao.

Alisema kwa akili yake anaielekeza katika mchezo wa TP Mazembe ya Congo Jumapili na michezo ya ligi iliyobaki ilikuakikisha hapotezi mchezo hata mmoja tena.

Alisema ligi kwa sasa ni ngumu sana kwani anakutana tena na JKT Ruvu ambao ni wazuri na ana maliza na Majimaji ya Songea ambao wanapigania kutokushuka daraja.
 
Kaburu: Ni mshikamano tu, tunaitoa Mazembe Send to a friend Wednesday, 30 March 2011 20:48

Sweetbert Lukonge
MAKAMU Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Godfrey Kaburu amewataka mashabiki wa klabu hiyo kushikamana na 'kuisapoti' timu yao katika mechi ya marudiano na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo itakayofanyika Jumapili ijayo jijini Dar es Salaam.

Akizungumza jana juu ya maandalizi ya mchezo huo, Kaburu alisema kuwa wamejipanga vizuri kuhakikisha wanaibuka na ushindi katika mechi hiyo lakini umoja na mshikamano kati ya watu wote wenye mapenzi na Simba ndiyo utakaowasaidia kufanikisha hilo.

"Cha msingi kwetu sasa siyo rekodi ni kuhakikisha tunatimiza lengo la kusonga mbele katika michuano hii mikubwa Afrika kwa ngazi ya klabu kwa kuitandika Mazembe, hilo linawezekana kabisa kama kila mmoja wetu atatoa ushirikiano wa kweli.

"TP Mazembe ni timu nzuri lakini hiyo siyo sababu ya kutuzuiya tusishinde kwani katika mechi ya Lubumbashi licha ya kupoteza mechi hiyo vijana wetu walionyesha kuwa wano uwezo wa kushinda," alisema Kaburu.

Alisema mechi ya juzi ya Ligi Kuu ya dhidi ya Kagere Sugar ambayo ilimalizika kwa suluhu isiwavunje moyo mashabiki na kushindwa kuisapoti timu yao kwani hayo ni matokeo na wanachopaswa kufanya kwa sasa ni kuiunga mkono Juamapili.

Kaburu alisema: "Lengo la kila mpenzi na shabiki wa Simba ni kutaka kuiona timu hiyo inafanya vizuri kwenye mechi zake zote hivyo sare hiyo ya Kagera haiwezi kutuathiri."
 
Yanga yaikaribia Simba kileleni Send to a friend Thursday, 31 March 2011 09:33

jerrytegete.jpg
Mshambuliaji nguli wa kikosi cha timu ya yanga akishangilia bao

Vicky Kimaro
MSHAMBULIAJI Jerry Tegete aliibuka shujaa wa Yanga jana baada ya kuifungia mabao yote mawili katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Tegete alipata bao moja katika kila kipindi, huku kipa Vladimir Niyokunkuru wa Azam akichangia katika kupatikana kwa mabao hayo yaliyoifikisha timu yake kwenye pointi 43 na kuzidi kuitia presha Simba iliyoko kileleni ikiwa nazo pointi 45, zote zikiwa zimebakisha mechi mbili.

Mchezaji kuoka Zambia Davis Mwape ndiye aliyepiga shuti ambalo Niyonkuru alilidaka na kulitema katika dakika ya 65 na mpira kutua mguuni mwa Tegete na kuujaza wavuni.

Awali, tukio la mpira kutoboka katika mchezo huo kipindi cha kwanza wakati timu hizo zikiwa zimefungana bao 1-1, ni moja ya vituko vichache vilivyopamba mchezo huo.

Mpira huo ulitoboka baada ya kupigwa nje na mmoja wa wachezaji katika kuzuia shambulizi langoni mwake.

Mchezo huo uliofanyika mbele ya mashabiki wengi kiasi huku baadhi yao wakishangilia Yanga huku wakibeba na kupeperusha jezi zinazofanana na zile za TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) inayotua nchini kesho kuikabili Simba.

Katika mchezo huo, Azam ndio waliotangulia kuandika bao la mapema, dakika ya tatu kupitia kwake John Boko 'Adebayor' kwa shuti kali ambalo kipa Ivan Knezevic alishindwa kulizuia.

Tegete aliisawazishia timu yake kwa bao la 'teknolojia' dakika ya 41 bada ya kuwapiga chenga mabeki lukuki wa Azam na kumtungua kipa Niyonkuru kwa bao ambalo awali lilidhaniwa kuwa mpira huo haukuvuka msitari.

Niyonkuru, kipa wa kimataifa wa Burundi ndiye aliyeizawadia Yanga bao hilo kwa mchecheto wake wa kutoka langoni kumkabili Tegete.

Mabadiliko ya kocha Stewart Hall wa Azam kipindi cha pili aliyemwingiza uwanjani msaidizi wake, Kalimagonga Ongala yalikaribia kuipa timu yake bao la kusawazisha dakika za mwisho za mchezo huo baada ya mshambuliaji huyo (Kalimangonga) kugongeana vizuri na Mrisho Ngassa na mpira wake kuzuiwa na kipa Knezevic.

Kwa matokeo hayo, Yanga ambayo imebakisha michezo miwili dhidi ya African Lyon na Toto African ya Mwanza imeweka hai matumaini ya kuipokonya ubingwa Simba msimu huu.

Lakini, hesabu hiyo itatimia endapo mabingwa hao watetezi watateleza katika mojawapo ya mechi zao mbili za mwisho huku wao (Yanga) wakifanya vizuri katika mechi hizo.

Comments




0 #1 Masalakulangwa 2011-03-31 10:07 Nakubali ushauri wa viongozi wa Simba wa kuondoa tofauti zetu katika mechi yao na TP Mazembbe kwa kuwa viongozi wa Simba wamelitambua hilo na wameomba radhi, vi vyema wanaYanga wenzangu tukawasamehe kwa makosa ya mashabiki wao tuwaunge mkono katika mechi ijayo ili wakitolewa (ambapo ni obvious watatolewa pasi na shaka) wasije wakasingizia kuwa hatukuwashangil ia. Endapo kuna mwanaYanga ambaye hawezi kuishangilia Simba basi akifika uwanjani akae kimya badala ya kuwazomea hawa waTZ wenzetu na kuwashangila waKongo ambao hawana hata chembe ya damu ya TZ!
Quote







Refresh comments list
 
Completed Games
Today's Games Week 1: 01/07/11 - 01/09/11 Week 2: 01/14/11 - 01/16/11 Week 3: 01/21/11 - 01/23/11 Week 4: 01/28/11 - 01/30/11 Week 14: 02/02/11 - 04/13/11 Week 5: 02/04/11 - 02/06/11 Week 6: 02/11/11 - 02/13/11 Week 7: 02/18/11 - 02/20/11 Week 8: 02/25/11 - 02/27/11 Week 9: 03/04/11 - 03/06/11 Week 10: 03/11/11 - 03/13/11 Week 11: 03/18/11 - 03/20/11 Week 12: 04/01/11 - 04/03/11 Week 13: 04/08/11 - 04/10/11 Week 15: 04/16/11 - 04/17/11 Week 16: 04/22/11 - 04/24/11 Week 17: 04/29/11 - 05/01/11​

Friday, February 25, 2011​
Week 8​

Estadio Victoria
Expand
expandInfo.jpg


1 : 0
Final




Match Stats | Match Trax
goal.gif
(75') Ismael Iñiguez
Goals
yellow-card.gif
(14') José Antonio Castro
yellow-card.gif
(16') Sergio Blanco
yellow-card.gif
(42') Pablo Quattrocchi
yellow-card.gif
(90') Everaldo Barbosa
Cards Juan Pablo Rodríguez (10')
yellow-card.gif

Uriel Alvarez (65')
yellow-card.gif

Jonathan Lacerda (87')
yellow-card.gif

greenArrow.gif
(65') Darío Gandín
redArrow.gif
Juan Carlos Mosqueda

greenArrow.gif
(73') Ismael Iñiguez
redArrow.gif
Sergio Blanco

greenArrow.gif
(84') Luis Ernesto Pérez
redArrow.gif
Cristian Suárez

Substitutions José María Cárdenas (67')
greenArrow.gif

Daniel Ludueña
redArrow.gif


Darwin Quintero (74')
greenArrow.gif

Christian Benítez
redArrow.gif


Rodrigo Ruiz (85')
greenArrow.gif

José Antonio Olvera
redArrow.gif



Saturday, February 26, 2011​
Week 8​

Estadio Victor Manuel Reyna
Expand
expandInfo.jpg


1 : 0
Final




Match Stats | Match Trax
goal.gif
(9') Julio Frías
Goals
yellow-card.gif
(31') Jorge Hernández
yellow-card.gif
(75') Miguel Ángel Martínez
yellow-card.gif
(78') Julio Frías
red-card.gif
(81') Antonio Salazar
yellow-card.gif
(88') Jorge Villalpando
Cards Xavier Báez (21')
yellow-card.gif

Adolfo Bautista (31')
yellow-card.gif

Omar Esparza (74')
yellow-card.gif

Jonny Magallón (90')
yellow-card.gif

greenArrow.gif
(62') Ricardo Esqueda
redArrow.gif
Edgar Andrade

greenArrow.gif
(70') Francisco Torres
redArrow.gif
Christian Váldez

greenArrow.gif
(79') Antonio Salazar
redArrow.gif
Julio Frías

Substitutions Dionicio Escalante (46')
greenArrow.gif

Antonio Gallardo
redArrow.gif


Marco Fabián de la Mora (46')
greenArrow.gif

Adolfo Bautista
redArrow.gif


Jorge Mora (68')
greenArrow.gif

Alberto Medina
redArrow.gif



Estadio La Corregidora
Expand
expandInfo.jpg


1 : 1
Final




Match Stats | Match Trax
goal.gif
(7') Isaac Acuña
Goals Isaac Romo (33')
goal.gif

yellow-card.gif
(2') Carlos Bueno
yellow-card.gif
(4') Héctor Altamirano
red-card.gif
(13') Raúl Ferro
red-card.gif
(51') Gabino Velasco
yellow-card.gif
(53') Efraín Cortés
yellow-card.gif
(90') Jorge Díaz de León
Cards Gonzalo Pineda (4')
yellow-card.gif

Néstor Araujo (6')
yellow-card.gif

Emanuel Villa (67')
yellow-card.gif

greenArrow.gif
(32') Gabino Velasco
redArrow.gif
Isaac Acuña

greenArrow.gif
(47') César Nava
redArrow.gif
Eder Borelli

greenArrow.gif
(79') Emilio López
redArrow.gif
Carlos Bueno

Substitutions Allam Bello (29')
greenArrow.gif

Gonzalo Pineda
redArrow.gif


Javier Aquino (69')
greenArrow.gif

Emanuel Villa
redArrow.gif


Javier Orozco (74')
greenArrow.gif

César Domínguez
redArrow.gif



Estadio Universitaro
Expand
expandInfo.jpg


3 : 0
Final




Match Stats | Match Trax
 
Estadio Miguel Hidalgo
Expand
expandInfo.jpg


0 : 0
Final




Match Stats | Match Trax
Goals
yellow-card.gif
(40') Facundo Coria
yellow-card.gif
(52') Yulián Anchico
yellow-card.gif
(90') Paul Aguilar
Cards Osmar Mares (43')
yellow-card.gif

Ignacio Torres (90')
yellow-card.gif

greenArrow.gif
(55') Luis Montes
redArrow.gif
Facundo Coria

greenArrow.gif
(55') Fernando Cortés
redArrow.gif
Julio Gómez

greenArrow.gif
(63') Víctor Mañón
redArrow.gif
Luis García

Substitutions Juan Manuel Cavallo (65')
greenArrow.gif

Wilmer Aguirre
redArrow.gif


Noé Maya (71')
greenArrow.gif

Michael Arroyo
redArrow.gif



Estadio Jalisco
Expand
expandInfo.jpg


1 : 0
Final




Match Stats | Match Trax
pk-goal.gif
(45') Gerardo Espinoza
Goals
yellow-card.gif
(12') Gerardo Flores
Cards Jonathan Orozco (45')
yellow-card.gif

Sergio Pérez (49')
yellow-card.gif

Osvaldo Martínez (63')
red-card.gif

greenArrow.gif
(74') Carlo Costly
redArrow.gif
Efraín Alférez

greenArrow.gif
(74') Luis Robles
redArrow.gif
Lucas Ayala

greenArrow.gif
(79') Lucio dos Santos
redArrow.gif
Gerardo Flores

Substitutions William Paredes (55')
greenArrow.gif

Sergio Pérez
redArrow.gif


Darío Carreño (55')
greenArrow.gif

Jesús Zavala
redArrow.gif


Jesús Arellano (78')
greenArrow.gif

Aldo De Nigris
redArrow.gif



Sunday, February 27, 2011​
Week 8​

Estadio Morelos
Expand
expandInfo.jpg


1:00 PM ET



Match Stats | Match Trax
Goals Cards Substitutions
Estadio Olímpico Universitaro
Expand
expandInfo.jpg


1:00 PM ET



Match Stats | Match Trax
 
Simba yajitapa kuitoa Mazembe

Wednesday, 30 March 2011 18:29 newsroom

NA MWANDISHI WETU
WACHEZAJI wa timu ya soka ya Simba, wamejigamba kwamba lazima waivue ubingwa TP Mazembe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), na kusonga mbele katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Wakizungumza kwa nyakati tofauti Dar es Salaam, juzi, wachezaji hao walisema hakuna kitakachoinusurisha timu hiyo na kipigo katika mchezo wa marudiano Jumapili hii, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Majigambo hayo ya Simba yamekuja siku chache baada ya kubanwa mbavu na Kagera Sugar kwa kulazimishwa suluhu, katika mechi ya ligi kuu ya Tanzania Bara, iliyochezwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Simba na TP Mazembe zitarudiana Jumapili katika mechi ya raundi ya pili itakayochezwa Dar es Salaam.
Katika mechi ya awali iliyochezwa karibu wiki mbili zilizopita mjini Lubumbashi, DRC, TP Mazembe iliichapa Simba mabao 3-1, na ili isonge mbele, Simba italazimika kushinda mechi hiyo kwa mabao 2-0.
Akizungumzia mechi hiyo, kiungo Mohamed Banka, alisema wamedhamiria kupambana kufa au kupona ili kushinda mechi hiyo na kusonga mbele.
Banka alisema iwapo Simba iliweza kuivua ubingwa Zamalek mwanzoni mwa miaka ya 1990, haoni kwa nini washindwe kufanya hivyo kwa TP Mazembe.
"Ni kweli tumeshindwa kucheza vizuri dhidi ya Kagera Sugar leo (juzi), lakini ni kwa sababu ya mazoezi magumu tuliyopata kutoka kwa makocha wetu. Tuna hakika Jumapili tutakuwa fiti kabisa," alisema.
Beki Amir Maftah alisema, wameshazifahamu mbinu zote za wapinzani wao, hivyo ushindi katika mechi hiyo ni kitu cha lazima.
"Lazima turudie rekodi ya kuivua ubingwa wa Afrika timu inayoushikilia," alisema.
Maftah alisema wana imani kubwa ya kushinda mechi hiyo kwa vile watakuwa wakicheza kwenye uwanja wa nyumbani, mbele ya mashabiki wao.
"TP Mazembe waje tu, lakini wajue lazima watakufa," alijigamba beki huyo wa zamani wa Yanga.
Kiungo Patrick Ochan kutoka Uganda, aliisifu TP Mazembe kwamba ni timu nzuri, lakini alijigamba kuwa haina nafasi ya kushinda mechi ya marudiano.
Alisema moja ya mapungufu waliyoyabaini katika kikosi cha TP Mazembe, ni ubutu wa safu yake ya ulinzi, hivyo wamejiandaa kuutumia ili kupata ushindi.
Ochan alisema watajihidi kuingia eneo la wapinzani wao mara kwa mara ili kuwachosha mabeki wao na hatimae kufunga mabao ya kushtukiza.
Kipa Juma Kaseja alisema, licha ya kufungwa katika mechi ya awali, hawajakata tamaa kwa vile nafasi ya ushindi kwao ni kubwa.
Amewataka mashabiki wa Simba kujitokeza kwa wingi kushuhudia mechi hiyo kwa vile watapata burudani, ambayo hawataisahau kwa muda mrefu.
Alisema uzuri wa TP Mazembe hauwezi kuwakwaza kwa vile katika soka lolote linaweza kutokea, lakini cha msingi ni wachezaji kucheza kwa ari na kujituma.
Mshambuliaji Emmanuel Okwi alisema, wamepania kuifunga TP Mazembe kwa sababu ni timu ya kawaida na wana uwezo wa kuimudu.
Hata hivyo, Okwi alisema ili waweze kufanikisha azma yao hiyo, wanapaswa kucheza kwa kujituma na kutambua majukumu yao uwanjani.
"TP Mazembe ni timu ya kawaida tu, tuliwakimbiza sana kipindi cha pili kule kwao, kama tukifanya hivyo Jumapili, sioni kwa nini tushindwe kuwafunga," alisema.
 
Gurumo alazwa tena Muhimbili

Wednesday, 30 March 2011 18:27 newsroom



NA MWANDISHI WETU
KIONGOZI wa bendi ya muziki wa dansi ya Msondo Ngoma, Muhidin Gurumo, amelazwa tena Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam, baada ya hali yake kuwa mbaya. Gurumo alifikishwa kwenye hospitali hiyo jana saa moja asubuhi akiwa na hali mbaya, na kuna taarifa alilazwa kwa muda kwenye chumba cha wagonjwa mahututi.
Meneja wa bendi hiyo, Saidi Kibiriti, alithibitisha jana kulazwa kwa mwanamuziki huyo kwenye hospitali hiyo, lakini hakuwa tayari kuzungumzia afya yake kwa undani.
"Ni kweli Mzee Gurumo amelazwa tena hapa Muhimbili, na mimi ndio kwanza nafika hapa, sijapata nafasi ya kumuona, hivyo siwezi kujua nini kinamsumbua," alisema.
Kibiriti alisema alipata taarifa za Gurumo kupelekwa hospitali kutoka kwa ndugu zake wa karibu, lakini hawakumweleza kilichomsibu.
Hii ni mara ya pili kwa Gurumo kulazwa hospitali ya Muhimbili. Mara ya kwanza ilikuwa Februari mwaka huu, alipokuwa akisumbuliwa na homa ya mapafu.
Licha ya kuruhusiwa kutoka hospitali, Gurumo alikuwa akikabiliwa na tatizo la kutembea, ambapo alikuwa akisaidiwa kufanya hivyo na mkewe.
Mwanamuziki huyo mkongwe alikuwepo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee mjini Dar es Salaam, wakati Msondo Ngoma ilipofanya onyesho la pamoja na Mlimani Park Orchestra wiki mbili zilizopita.
 
Upcoming Games
Today's Games Week 1: 08/28/10 - 08/30/10 Week 2: 09/11/10 - 09/12/10 Week 3: 09/18/10 - 09/19/10 Week 4: 09/22/10 - 09/23/10 Week 5: 09/25/10 - 09/26/10 Week 6: 10/02/10 - 10/03/10 Week 7: 10/16/10 - 10/17/10 Week 8: 10/23/10 - 10/25/10 Week 9: 10/29/10 - 10/31/10 Week 10: 11/06/10 - 11/07/10 Week 11: 11/10/10 - 11/11/10 Week 12: 11/13/10 - 11/14/10 Week 13: 11/20/10 - 11/21/10 Week 14: 11/27/10 - 11/28/10 Week 15: 12/03/10 - 12/08/10 Week 16: 12/11/10 - 12/12/10 Week 17: 12/18/10 - 12/19/10 Week 18: 01/06/11 Week 19: 01/09/11 Week 20: 01/15/11 - 01/16/11 Week 21: 01/19/11 - 02/16/11 Week 22: 01/29/11 - 02/16/11 Week 27: 01/30/11 - 02/28/11 Week 23: 02/01/11 - 02/03/11 Week 24: 02/05/11 - 02/06/11 Week 25: 02/12/11 - 02/13/11 Week 26: 02/19/11 - 02/20/11 Week 28: 03/04/11 - 03/06/11 Week 29: 03/11/11 - 03/13/11 Week 30: 03/19/11 - 03/20/11 Week 31: 04/02/11 - 04/03/11 Week 32: 04/09/11 - 04/10/11 Week 33: 04/16/11 - 04/17/11 Week 34: 04/23/11 Week 35: 05/01/11 Week 36: 05/08/11 Week 37: 05/15/11 Week 38: 05/22/11​

Saturday, April 2, 2011​
Week 31​

Mario Rigamonti
Expand
expandInfo.jpg


12:00 PM ET



Goals Cards Substitutions
San Siro
Expand
expandInfo.jpg


2:45 PM ET



Goals Cards Substitutions
Sunday, April 3, 2011​
Week 31​

San Paolo
Expand
expandInfo.jpg


6:30 AM ET



Goals Cards Substitutions
Via del Mare
Expand
expandInfo.jpg


9:00 AM ET



Goals Cards Substitutions
Ennio Tardini
Expand
expandInfo.jpg


9:00 AM ET

Bari


Goals Cards Substitutions
M. Bentegodi
Expand
expandInfo.jpg


9:00 AM ET



Goals Cards Substitutions
Luigi Ferraris
Expand
expandInfo.jpg


9:00 AM ET



Goals Cards Substitutions
Angelo Massimino
Expand
expandInfo.jpg


9:00 AM ET



Goals Cards Substitutions
Dino Manuzzi
Expand
expandInfo.jpg


9:00 AM ET



Goals Cards Substitutions
Olimpico
Expand
expandInfo.jpg


2:45 PM ET

 
‘Usiku wa Wasafi' kurindima Bilicanas Jumapili


na Dina Ismail


amka2.gif
WASANII wanaofanya vema kwa sasa kutoka familia ya ‘Wasafi' Diamond ‘Rais wa Wasafi', Hemed na Shetta wanatarajiwa kutumbuiza katika onyesho lililobatizwa kama ‘Usiku wa Wasafi' utakaofanyika Aprili 6 kwenye ukumbi wa Club Bilicanas jijini Dar es Salaam.
Wakali hao, kwa sasa wako katika mazoezi makali ya kujiandaa na onyesho hilo, litakalorindima Jumapili katika probramu ya ‘Bongo Starz Nite'.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi jijini Dar es Salaam jana, mmoja ya wasanii hao, Nassib Abdul, maarufu kama Diamond, alisema usiku huo utakuwa ni zaidi ya burudani, kutokana na maandalizi wanayoyafanya.
"Kama mnavyojua mambo yetu tunayoyafanya pindi tunapopanda jukwaani, hivyo mashabiki mkae mkao wa kula siku hiyo kwa kujitokeza kwa wingi," alisema.
Kupitia usiku huo, Diamond atashuka na nyimbo kama ‘Kamwambie', ‘Nitarejea', ‘Mbagala', ‘Nalia na Mengi', ‘Binadamu Wabaya' na nyinginezo, huku Shetta naye akishuka na kitu kama ‘Nimechokwa'.
Naye Makamu wa Rais wa Wasafi, Hemed atashuka na vibao vyake kama ‘Si ulisema', ‘Alcohol' na nyinginezo, ambako kiingilio kimepangwa kuwa sh 5,000.


h.sep3.gif
 
Msama awaangukia Shinyanga


na Mwandishi wetu


amka2.gif
MWENYEKITI wa kamati ya maandalizi ya tamasha la muziki wa Injili la Pasaka, Alex Msama, amewaomba radhi wapenzi na mashabiki wa muziki huo wa mjini Shinyanga na vitongoji vyake kutokana na tamasha hilo kuhamishiwa jijini Mwanza.
Msama alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa amelazimika kuomba radhi kutokana na kupata simu nyingi kutoka Shinyanga zikilalamikia hatua ya kulihamisha tamasha hilo lililokuwa lifanyike kwenye Uwanja wa Kambarage, Aprili 26.
Alisema uamuzi wa kuhamishia Uwanja wa CCM Kirumba, ni wa kamati, ingawa yeye ndiye mwenyekiti, kutokana na sababu mbalimbali.
Msama, mdau aliyechangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa muziki wa injili nchini kupitia matamasha tangu mwaka 2000, amewataka wapenzi na mashabiki wa muziki wa injili wa Shinyanga, wawe wavumilivu.
"Nawaomba wapenzi na mashabiki wa muziki wa injili wa pale mjini Shinyanga na vitongoji vyake, watusamehe kwa kulihamisha tamasha ambalo lilikuwa lifanyike pale Aprili 26," alisema Msama.
Alisema, huo ni uamuzi wa Kamati kutokana na sababu mbalimbali zilizo nje ya uwezo wa kamati hiyo, lakini akiwa mwenyekiti anapaswa kuomba radhi kwa niaba ya kamati yake.
Alisema, kwa vile Shinyanga wameonyesha kiu kubwa ya tamasha, kamati yake itaangalia uwezekano wa kuwapelekea matamasha mengine yajayo, kwani anaheshimu na kuthamini ukarimu wa wakazi wa Shinyanga.
Alisema onyesho la kwanza la tamasha la Pasaka, litafanyika kama ilivyopangwa Aprili 24, kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee ambako mgeni rasmi atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete.
Msama alisema tamasha la Pasaka litapambwa na waimbaji mahiri wakiongozwa na Rose Muhando, malkia wa nyimbo za Injili wa mwaka 2009 kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC1), Upendo Nkone, Bony Mwaitege, Annastazia Mukabwa, Pamela Wanderwa, Christina Shusho, Ephraim Sekeleti na Solomon Mukubwa.
Tamasha la Pasaka la mwaka huu litashirikisha waimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchi sita ambazo ni Kenya, Uganda, Rwanda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Afrika Kusini na Zambia. Pia kutakuwa na kwaya mbili kutoka katika nchi hizo.
Lengo la tamasha la mwaka huu ni kuchangisha fedha kwa ajili ya watoto yatima, kuwasaidia mitaji ya biashara wajane wasiojiweza na waathirika wa mabomu yaliyotokea kambi ya JWTZ Gongo la Mboto, Dar es Salaam, Februari 16 mwaka huu.
Kiingilio katika tamasha hilo kitakuwa sh 4,000 kwa viti vya kawaida, viti maalumu (B) sh 10,000 na viti maalumu (A) sh 20,000.


h.sep3.gif
 
Yanga yazidi kuihemea Simba
• Yailamba Azam FC 2-1 Shamba la Bibi

na Dina Ismail


amka2.gif
TIMU ya soka ya Yanga jana ilijiweka katika mazingira mazuri ya kuwapiku mabingwa watetezi Simba baada ya kuilaza Azam FC kwa mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa Uwanja wa Uhuru ‘Shamba la Bibi' jana jijini Dar es Salaam.
Katika mechi hiyo iliyokuwa na upinzani wa hali ya juu, iliwachukua wauza koni ‘Lambalamba' Azam FC dakika mbili tu kucheka na nyavu za Yanga, baada ya John Boko ‘Adebayor' kutupia nyavuni kwa shuti kali, baada ya kutumia vema makosa ya Nadir Haroub kuokoa mpira kwa papara na kumgonga mchezaji mmoja kabla ya mfungaji kuunasa na kufanya kweli.
Dakika ya 9, Mrisho Ngassa alipiga shuti kali lakini likadakwa na kipa Ivan Knezevic, kabla ya Yanga kujibu kwa shuti kali la Davis Mwape lililogonga mwamba dakika ya 12, huku Jerry Tegete naye akikosa mabao ya wazi matatu kutokana na kupiga mpira fyongo.
Yanga waliendelea kusaka bao la kusawazisha, ambako dakika ya 32 Kigi Makasi alipiga shuti kali lakini likatoka juu ya mwamba, kabla ya dakika ya 41 Tegete kurekebisha makosa na kupachika bao la kusawazisha baada ya kumpiga chenga kipa wa Azam.
Baada ya bao hilo, mwamuzi Said Ndege wa Dar es Salaam alimzawadia Tegete kadi ya njano kutokana na utovu wa nidhamu.
Hadi kipindi cha kwanza kinamalizika, timu hizo zilitoka uwanjani zikiwa zimetoshana nguvu ya bao 1-1.
Kipindi cha pili kilianza kwa timu zote kushambuliana kwa zamu, ambako Ngassa alijikuta akilimwa kadi ya njano kutokana na kuzozana na mwamuzi Ndege.
Dakika ya 56, Tegete alikosa bao baada ya kupokea mpira wa krosi na kupiga shuti lililotoka nje.
Wachezaji wa Azam FC, Redondo na Boko nao walizawadiwa kadi ya njano kutokana na mchezo mbaya.
Alikuwa Tegete tena ambaye alipokea mpira wa kurushwa na Mbuna na kupiga kichwa lakini kikapaa juu ya goli, kabla ya kusawazisha makosa na kupachika bao la pili kwa kuchwa akitumia vema pasi ya ya Mwape na kumtoka kipa Nyonzikuru.
Dakika ya 80 daktari wa Yanga alitolewa kwenye benchi kutokana na utovu wa nidhamu, huku Nurdin Bakari naye akizawadiwa kadi ya njano. Hadi filimbi ya mwisho ya mwamuzi Ndege, Yanga ilitoka kifua mbele kwa mabao 2-1.
Kwa ushindi huo, Yanga imefikisha pointi 43 na kuzidi kuwapumulia watani zao Simba walioko kileleni kwa pointi zao 45 huku kila timu ikibakisha michezo miwili, hivyo kufanya ubingwa kubaki kuwa kitendawili. Azam FC imebaki na pointi zake 37.
Yanga: Ivan Knezevic, Shadrack Nsajigwa ‘Fusso', Stephano Mwasika, Nadir Haroub ‘Canavaro', Chacha Marwa, Juma Seif/ Omega Seme, Fred Mbuna, Nurdin Bakari, Davis Mwape, Jerry Tegete, Kigi Makassy.
Azam: Vladimir Nyonkuru, Ibrahim Shikanda, Malika Ndeule/ Himid Mao, Erasto Nyoni, Aggrey Morris, Patrick Mafisango, Mrisho Ngassa, Jabir Aziz, John Boko, Ramadhani Chombo ‘Redondo', Suleiman Kassim/ Kally Ongala.
Katika mchezi mwingine wa ligi hiyo uliopigwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, Mwandishi Wetu Ramadhani Siwayombe anaripoti kuwa, wenyeji AFC Arusha ambao tayari wamechungulia Ligi Daraja la Kwanza, walitoshana nguvu na Wakata Miwa wa Mtibwa Sugar kwa sare ya 1-1.
Mtibwa Sugar ilipata bao lao dakika ya 20 kwa njia ya penalti mfungaji akiwa mkongwe Monja Liseki, baada ya mchezaji mmoja wa Mtibwa kufanyiwa madhambi, kabla ya Dakika ya 24 na Abdallah Juma wa AFC kuisawazishia timu yake kwa shuti la karibu.
 
UDOM wawataka Simba, Yanga All Stars


na Juma Kasesa


amka2.gif
MCHEZO wa marudiano wa pambano la watani wa jadi, Simba na Yanga All Stars linalohusisha wachezaji wa zamani wa klabu hizo, unatarajiwa kupigwa Aprili 23 mwaka huu kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma ikiwa ni ombi la wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Kwa mujibu wa mratibu wa pambano hilo, Suleiman Mathew, wanafunzi wa UDOM, wameomba pambano hilo lichezwe mkoani humo, kwa lengo la kutaka kuwaona nyota wa zamani wa klabu hizo, ambao wamewahi kutamba miaka kadhaa iliyopita.
Alisema mchezo huo utakuwa ni burudani kwa wakazi wa Dodoma na wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao watakuwa wakimalizia shughuli mbalimbali za Bunge, ambako maandalizi yake yanaendelea vizuri.
Timu hizo zinarudiana ikiwa ni wiki mbili zimepita tangu zilipovaana Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na Simba kuibuka kidedea kwa bao 1-0, likiwekwa wavuni na Shekhan Rashidi.
Aidha, Mathew aliwataka wakazi wa Dodoma kujitokeza kwa wingi kushuhudia pambano hilo, ambako alibainisha kuwa, zitakuwepo burudani mbalimbali kwa ajili ya wakazi wa mkoa huo.
 
Mbunge Nkamia awa kivutio Shamba la Bibi


na Asha Bani


amka2.gif
MBUNGE wa Kondoa Kusini, Juma Nkamia, juzi alikuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki na wadau wa michezo hususan soka kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam ambako alitumia pambano la Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Kagera Sugar kuaga rasmi baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge.
Nkamia ambaye ni mtangazaji maarufu wa soka, aliwasili kwenye viwanja hivyo maarufu kama ‘Shamba la Bibi' dakika 10 kabla ya kuanza mpira, kwa lengo la kutangaza mchezo huo kupitia kituo cha Radio cha TBC1, alisema lengo lilikuwa ni kuwaaga rasmi wasikilizaji wake na wapenzi wa klabu ya Simba, ambayo pia aliwahi kuwa Katibu Mwenezi wake.
Mara baada ya kumalizika kwa mechi hiyo, mashabiki walimshangilia mbunge huyo na kuwa kivutio kikubwa kwa watu waliohudhuria mechi hiyo hasa waliokuwa wamekaa jukwaa kuu.
Akizungumza na Tanzania Daima mara baada ya kumalizika kwa mechi hiyo, alisema kuwa yeye anataka kuwa mfano kwa wabunge wengine kwamba, ‘professional' (taaluma), haisahauliki na ndiyo maana pia ameamua kwenda jimboni kwake na kufundisha.
"Mimi nataka niwe mbunge wa kwanza kwa kutoa mfano, naenda jimboni kufundisha na pia nikiwa Dar es Salaam, natangaza pindi nitapohitajika, siwezi nikaacha fani yangu ipotee, kuwa mbunge si kigezo cha mtu kusahau taaluma yake," alisema Nkamia ambaye pia kitaaluma ni mwalimu.
Aidha, aliitakia kila la heri Simba katika mechi yao dhidi ya TP Mazembe na kuwataka kujinoa, kujituma vilivyo, ili wafanye kweli katika mechi hiyo ya marudiano.
Nkamia alianza kutangaza Radio Tanzania, ambayo kwa sasa ni TBCI mwaka 1995 akitokea Shule ya Sekondari Pwani, kabla ya kuacha na 2003 na kwenda nchini Uingereza ambako alijiunga na BBC mwaka 2004 na mwaka 2006 alijiunga na Sauti ya Amerika (VOA).
 
RT yasogeza mbele mashindano


na Samia Mussa


amka2.gif
MASHINDANO ya wazi ya riadha yaliyokuwa yafanyike Aprili 23-24 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam sasa yamesogezwa mbele.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa Chama cha Riadha Tanzania (RT), Mujaya Suleiman Nyambui, alisema kuwa sasa mashindano hayo yatafanyika Aprili 30 hadi Mei mosi mwaka huu, ambako mabadiliko hayo yamefanyika ili kupisha sikukuu ya Pasaka.
Nyambui alisema, Kamati ya Mashindano hayo, iligundua kwamba siku hiyo ya mashindano ndiyo maadhimisho ya sikukuu hiyo, hivyo wasingeweza kupata wachezaji wengi.
Kwa mujibu wa Nyambui, mashindano hayo yameandaliwa na RT, yakiwa na lengo la kutafuta vipaji vya wachezaji chipukizi, ambao wataunda timu ya taifa itakayoshiriki katika mashindano ya Afrika Mashariki na Kati yatakayofanyika Juni 3-5 jijini Dar es Salaam.
Mashindano hayo ya wazi, yatahusisha mbio za aina tofauti tofauti, zikiwemo mbio fupi zote, za kati, ndefu, mitupo na miruko.
Nyambui alisema, vijana wanaopenda michezo hiyo, ndiyo fursa pekee ya kujitokeza kuonyesha vipaji vyao katika mashindano ya wazi kama hayo, hivyo alitoa wito watu kujitokeza kwa wingi, hasa vijana ili waweze kuonyesha vipaji vyao na hatimaye kuunda timu ya taifa itakayoshiriki mashindano mbalimbali ya kitaifa na kimataifa.
 
Upcoming Games
Today's Games Week 1: 08/14/10 - 08/16/10 Week 2: 08/21/10 - 08/23/10 Week 3: 08/28/10 - 08/29/10 Week 4: 09/11/10 - 09/13/10 Week 5: 09/18/10 - 09/19/10 Week 6: 09/25/10 - 09/26/10 Week 7: 10/02/10 - 10/03/10 Week 8: 10/16/10 - 10/18/10 Week 9: 10/23/10 - 10/24/10 Week 10: 10/30/10 - 11/01/10 Week 11: 11/06/10 - 11/07/10 Week 12: 11/09/10 - 11/10/10 Week 13: 11/13/10 - 11/14/10 Week 14: 11/20/10 - 11/22/10 Week 15: 11/27/10 - 11/28/10 Week 16: 12/04/10 - 12/06/10 Week 17: 12/11/10 - 12/13/10 Week 18: 12/18/10 - 12/20/10 Week 19: 12/26/10 - 12/27/10 Week 20: 12/28/10 - 12/29/10 Week 21: 01/01/11 - 01/02/11 Week 22: 01/04/11 - 01/05/11 Week 23: 01/12/11 - 01/16/11 Week 24: 01/22/11 - 01/26/11 Week 25: 02/01/11 - 02/02/11 Week 26: 02/05/11 - 02/06/11 Week 27: 02/12/11 - 02/14/11 Week 28: 02/15/11 - 02/28/11 Week 29: 03/01/11 - 03/09/11 Week 30: 03/19/11 - 03/20/11 Week 31: 04/02/11 - 04/03/11 Week 32: 04/09/11 - 04/11/11 Week 33: 04/16/11 - 04/27/11 Week 34: 04/20/11 - 04/26/11 Week 35: 04/30/11 - 05/01/11 Week 36: 05/07/11 - 05/10/11 Week 37: 05/14/11 - 05/15/11 Week 38: 05/22/11​

Saturday, April 2, 2011​
Week 31​

Upton Park
Expand
expandInfo.jpg


7:45 AM ET



Goals Cards Substitutions
Goodison Park
Expand
expandInfo.jpg


10:00 AM ET



Goals Cards Substitutions
St. James' Park
Expand
expandInfo.jpg


10:00 AM ET



Goals Cards Substitutions
The Hawthorns
Expand
expandInfo.jpg


10:00 AM ET



Goals Cards Substitutions
St. Andrews
Expand
expandInfo.jpg


10:00 AM ET



Goals Cards Substitutions
DW Stadium
Expand
expandInfo.jpg


10:00 AM ET



Goals Cards Substitutions
Britannia Stadium
Expand
expandInfo.jpg


10:00 AM ET



Goals Cards Substitutions
Emirates Stadium
Expand
expandInfo.jpg


12:30 PM ET



Goals Cards Substitutions
Sunday, April 3, 2011​
Week 31​

Craven Cottage
Expand
expandInfo.jpg


8:30 AM ET



Goals Cards Substitutions
City Of Manchester
Expand
expandInfo.jpg


11:00 AM ET

 
Upcoming Games
Today's Games Week 1: 08/07/10 - 08/08/10 Week 2: 08/14/10 - 08/15/10 Week 3: 08/17/10 - 08/22/10 Week 4: 08/28/10 - 08/29/10 Week 5: 09/11/10 - 09/12/10 Week 6: 09/18/10 - 09/19/10 Week 7: 09/25/10 - 09/26/10 Week 8: 10/02/10 - 10/03/10 Week 9: 10/16/10 - 10/17/10 Week 10: 10/23/10 - 10/24/10 Week 11: 10/30/10 - 11/02/10 Week 12: 11/06/10 - 11/07/10 Week 13: 11/13/10 - 11/14/10 Week 14: 11/20/10 - 11/21/10 Week 15: 11/27/10 - 11/28/10 Week 16: 11/27/10 - 12/05/10 Week 17: 12/11/10 - 12/12/10 Week 18: 12/18/10 - 01/22/11 Week 19: 12/21/10 - 12/22/10 Week 20: 01/15/11 - 01/16/11 Week 21: 01/29/11 - 01/30/11 Week 22: 02/05/11 - 02/06/11 Week 23: 02/12/11 - 02/13/11 Week 24: 02/18/11 - 02/20/11 Week 25: 02/26/11 - 02/27/11 Week 26: 03/05/11 - 03/06/11 Week 27: 03/11/11 - 03/13/11 Week 28: 03/19/11 - 03/20/11 Week 29: 04/02/11 - 04/03/11 Week 30: 04/09/11 - 04/10/11 Week 31: 04/16/11 - 04/17/11 Week 32: 04/24/11 Week 33: 04/30/11 Week 34: 05/07/11 Week 35: 05/11/11 Week 36: 05/15/11 Week 37: 05/21/11 Week 38: 05/29/11​

Saturday, April 2, 2011​
Week 29​

Parc des Princes
Expand
expandInfo.jpg


1:00 PM ET



Goals Cards Substitutions
Auguste Bonal
Expand
expandInfo.jpg


1:00 PM ET



Goals Cards Substitutions
Route de Lorient
Expand
expandInfo.jpg


1:00 PM ET



Goals Cards Substitutions
Marcel Picot
Expand
expandInfo.jpg


1:00 PM ET



Goals Cards Substitutions
Metropole
Expand
expandInfo.jpg


1:00 PM ET



Goals Cards Substitutions
Stade Fernand Fournier
Expand
expandInfo.jpg


1:00 PM ET



Goals Cards Substitutions
Municipal Toulouse
Expand
expandInfo.jpg


3:00 PM ET



Goals Cards Substitutions
Sunday, April 3, 2011​
Week 29​

Geoffroy-Guichard
Expand
expandInfo.jpg


11:00 AM ET



Goals Cards Substitutions
Municipal du Ray
Expand
expandInfo.jpg


11:00 AM ET



Goals Cards Substitutions
Felix Bollaert
Expand
expandInfo.jpg


Lens
3:00 PM ET

 
SEPTEMBER FIXTURES AND RESULTS April May June July August September Wednesday, September 1, 2010
25x25sky_20100317164333_0_0.GIF
Sky Blue FC 1-1 FC Gold Pride
25x25_BayArea_20100317162430_0_0.GIF
FINAL
25x25_atlanta_20100326124822_0_0.GIF
Atlanta Beat 1-3 Boston Breakers
25x25_Boston_20100317162055_0_0.GIF
FINAL
25x25_Chicago_20100317162647_0_0.GIF
Chicago Red Stars 2-0 Philadelphia Independence
25x25phil_20100317163847_0_0.GIF
FINAL Sunday, September 5, 2010
25x25_Chicago_20100317162647_0_0.GIF
Chicago Red Stars 2-1 Washington Freedom
25x25_Washington_20100317162927_0_0.GIF
FINAL
25x25_atlanta_20100326124822_0_0.GIF
Atlanta Beat 0-0 Sky Blue FC
25x25sky_20100317164333_0_0.GIF
FINAL
25x25_BayArea_20100317162430_0_0.GIF
FC Gold Pride 2-0 Boston Breakers
25x25_Boston_20100317162055_0_0.GIF
FINAL Saturday, September 11, 2010
25x25sky_20100317164333_0_0.GIF
Sky Blue FC 0-0 Boston Breakers
25x25_Boston_20100317162055_0_0.GIF
FINAL
25x25_Washington_20100317162927_0_0.GIF
Washington Freedom 1-0 Atlanta Beat
25x25_atlanta_20100326124822_0_0.GIF
FINAL
25x25_BayArea_20100317162430_0_0.GIF
FC Gold Pride 4-1 Philadelphia Independence
25x25phil_20100317163847_0_0.GIF
FINAL WPS First Round - Sunday, September 19, 2010
25x25phil_20100317163847_0_0.GIF
Philadelphia Independence 1-0 Washington Freedom
25x25_Washington_20100317162927_0_0.GIF
FINAL WPS Super Semifinal - Thursday, September 23, 2010
25x25_Boston_20100317162055_0_0.GIF
Boston Breakers 1-2 Philadelphia Independence
25x25phil_20100317163847_0_0.GIF
FINAL WPS Championship - Sunday, September 26, 2010
25x25_BayArea_20100317162430_0_0.GIF
FC Gold Pride 4-0 Philadelphia Independence
25x25_wps_logo_20100326124840_0_0.GIF
FINAL All Times Eastern
View TV Listings > .titleRow { font-family: Verdana,Arial,Helvetica,sans-serif; font-size: 14px; font-weight: bold; }.bodyRow { font-family: Verdana,Arial,Helvetica,sans-serif; font-size: 12px; }.tableBg { background-image: url("/id/8542683"); background-repeat: repeat-x; border: 1px solid rgb(204, 204, 204); }.teamLinks a:hover { font-family: Verdana,Arial,Helvetica,sans-serif; font-size: 11px; color: rgb(69, 131, 255); vertical-align: top; }.teamLinks a:link, .teamLinks a:visited { font-family: Verdana,Arial,Helvetica,sans-serif; font-size: 11px; color: rgb(102, 153, 255); vertical-align: top; }
8542681
Atlanta_WPS_20100304141933_0_0.GIF
Team Site | Buy Tickets
ATLANTA Team Name: Beat
Stadium: Atlanta Beat Stadium, Atlanta, GA
Capacity: 8,300
Coach: Gareth O'Sullivan
Notables: Tobin Heath, Leigh Ann Robinson, Ramona Bachmann
90x90_Boston_WPS_20100303172925_0_0.GIF
Team Site | Buy Tickets
BOSTON Team Name: Breakers
Stadium: Harvard Stadium, Cambridge, MA
Capacity: 30,323
Coach:Tony DiCicco
Notables: Kristine Lilly, Kelly Smith, Fabiana
Philadelphia_WPS_20100304142020_0_0.GIF
Team Site | Buy Tickets
PHILADELPHIA Team Name: Independence
Stadium: John A. Farrell Stadium, West Chester, PA
Capacity: 7,500
Coach: Paul Riley
Notables: Heather Mitts, Amy Rodriguez, Lianne Sanderson
90x90_Sky_20100310175705_0_0.GIF
Team Site | Buy Tickets
NEW JERSEY / NEW YORK Team Name: Sky Blue FC
Stadium: Yurcak Field, Piscataway, NJ
Capacity: 5,000
Coach: Pauliina Miettinen
Notables: Natasha Kai, Heather O'Reilly, Christine Rampone
90x90_Washington_20100303171621_0_0.GIF
Team Site | Buy Tickets
magicJack's Washington Freedom Team Name: Sky Blue FC
Stadium: Yurcak Field, Piscataway, NJ
Capacity: 5,000
Coach: Pauliina Miettinen
Notables: Natasha Kai, Heather O'Reilly, Christine Rampone
90x90_NewYork_Flash_20110309193102394_0_0.GIF
Team Site | Buy Tickets
Western New York Team Name: Flash
Stadium: Sahlen's Stadium, Rochester, NY
Capacity: 13,768
Coach: Aaran Lines
Notables: Marta, Alex Morgan, Kaley Fountain
 
SEPTEMBER FIXTURES AND RESULTS April May June July August September Wednesday, September 1, 2010
25x25sky_20100317164333_0_0.GIF
Sky Blue FC 1-1 FC Gold Pride
25x25_BayArea_20100317162430_0_0.GIF
FINAL
25x25_atlanta_20100326124822_0_0.GIF
Atlanta Beat 1-3 Boston Breakers
25x25_Boston_20100317162055_0_0.GIF
FINAL
25x25_Chicago_20100317162647_0_0.GIF
Chicago Red Stars 2-0 Philadelphia Independence
25x25phil_20100317163847_0_0.GIF
FINAL Sunday, September 5, 2010
25x25_Chicago_20100317162647_0_0.GIF
Chicago Red Stars 2-1 Washington Freedom
25x25_Washington_20100317162927_0_0.GIF
FINAL
25x25_atlanta_20100326124822_0_0.GIF
Atlanta Beat 0-0 Sky Blue FC
25x25sky_20100317164333_0_0.GIF
FINAL
25x25_BayArea_20100317162430_0_0.GIF
FC Gold Pride 2-0 Boston Breakers
25x25_Boston_20100317162055_0_0.GIF
FINAL Saturday, September 11, 2010
25x25sky_20100317164333_0_0.GIF
Sky Blue FC 0-0 Boston Breakers
25x25_Boston_20100317162055_0_0.GIF
FINAL
25x25_Washington_20100317162927_0_0.GIF
Washington Freedom 1-0 Atlanta Beat
25x25_atlanta_20100326124822_0_0.GIF
FINAL
25x25_BayArea_20100317162430_0_0.GIF
FC Gold Pride 4-1 Philadelphia Independence
25x25phil_20100317163847_0_0.GIF
FINAL WPS First Round - Sunday, September 19, 2010
25x25phil_20100317163847_0_0.GIF
Philadelphia Independence 1-0 Washington Freedom
25x25_Washington_20100317162927_0_0.GIF
FINAL WPS Super Semifinal - Thursday, September 23, 2010
25x25_Boston_20100317162055_0_0.GIF
Boston Breakers 1-2 Philadelphia Independence
25x25phil_20100317163847_0_0.GIF
FINAL WPS Championship - Sunday, September 26, 2010
25x25_BayArea_20100317162430_0_0.GIF
FC Gold Pride 4-0 Philadelphia Independence
25x25_wps_logo_20100326124840_0_0.GIF
FINAL All Times Eastern
View TV Listings > .titleRow { font-family: Verdana,Arial,Helvetica,sans-serif; font-size: 14px; font-weight: bold; }.bodyRow { font-family: Verdana,Arial,Helvetica,sans-serif; font-size: 12px; }.tableBg { background-image: url("/id/8542683"); background-repeat: repeat-x; border: 1px solid rgb(204, 204, 204); }.teamLinks a:hover { font-family: Verdana,Arial,Helvetica,sans-serif; font-size: 11px; color: rgb(69, 131, 255); vertical-align: top; }.teamLinks a:link, .teamLinks a:visited { font-family: Verdana,Arial,Helvetica,sans-serif; font-size: 11px; color: rgb(102, 153, 255); vertical-align: top; }
8542681
Atlanta_WPS_20100304141933_0_0.GIF
Team Site | Buy Tickets
ATLANTA Team Name: Beat
Stadium: Atlanta Beat Stadium, Atlanta, GA
Capacity: 8,300
Coach: Gareth O’Sullivan
Notables: Tobin Heath, Leigh Ann Robinson, Ramona Bachmann
90x90_Boston_WPS_20100303172925_0_0.GIF
Team Site | Buy Tickets
BOSTON Team Name: Breakers
Stadium: Harvard Stadium, Cambridge, MA
Capacity: 30,323
Coach:Tony DiCicco
Notables: Kristine Lilly, Kelly Smith, Fabiana
Philadelphia_WPS_20100304142020_0_0.GIF
Team Site | Buy Tickets
PHILADELPHIA Team Name: Independence
Stadium: John A. Farrell Stadium, West Chester, PA
Capacity: 7,500
Coach: Paul Riley
Notables: Heather Mitts, Amy Rodriguez, Lianne Sanderson
90x90_Sky_20100310175705_0_0.GIF
Team Site | Buy Tickets
NEW JERSEY / NEW YORK Team Name: Sky Blue FC
Stadium: Yurcak Field, Piscataway, NJ
Capacity: 5,000
Coach: Pauliina Miettinen
Notables: Natasha Kai, Heather O'Reilly, Christine Rampone
90x90_Washington_20100303171621_0_0.GIF
Team Site | Buy Tickets
magicJack's Washington Freedom Team Name: Sky Blue FC
Stadium: Yurcak Field, Piscataway, NJ
Capacity: 5,000
Coach: Pauliina Miettinen
Notables: Natasha Kai, Heather O'Reilly, Christine Rampone
90x90_NewYork_Flash_20110309193102394_0_0.GIF
Team Site | Buy Tickets
Western New York Team Name: Flash
Stadium: Sahlen's Stadium, Rochester, NY
Capacity: 13,768
Coach: Aaran Lines
Notables: Marta, Alex Morgan, Kaley Fountain
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom