Michezo magazetini leo...

Michezo magazetini leo...

Status
Not open for further replies.
Triaud: Tigana is not to blame


RivalsDM



PRINT RSS

0 comments »

Updated Feb 22, 2011 8:54 AM ET
Bordeaux president Jean-Louis Triaud insists coach Jean Tigana is not under increased pressure despite Saturday's heavy defeat by Lorient.

The home of the best LIVE soccer and rugby awaits at FoxSoccer.tv -- don't miss a second of the action.

Tigana's troops slumped to a 5-1 reverse to extend their winless sequence to three games and slip to 12th place in the Ligue 1 standings.
Les Girondins were champions of France in 2009 and finished sixth last season, and their decline appears likely to continue this term after picking up just seven wins in 24 league outings.
But Triaud is adamant there will be no knee-jerk reaction, telling Le Parisien: "The question of the departure of Jean Tigana does not arise. There is no decision to take.
"You cannot blame him for everything."
 
Barcelona's Xavi out 7-10 days to leg injury


storypage_APlogo_01.png




PRINT RSS



Updated Feb 22, 2011 1:14 PM ET
Barcelona says Xavi Hernandez will miss 7-to-10 days because of a leg injury, a layoff that appears to leave the Spanish midfielder time to return for the Champions League match against Arsenal on March 8.


Barcelona said Tuesday an MRI revealed the World Cup champion sustained a small muscle tear in his left leg.
Xavi is expected to miss Barcelona's league games at Mallorca on Saturday and against Valencia next Wednesday. Barcelona hosts Zaragoza on March 5.
The Blaugrana lost the first leg of their second-round match against the Gunners 2-1 in London last week. In the Spanish league, Barcelona holds a five-point lead over second-place Real Madrid.
 
Real Sociedad edges Mallorca 1-0 in Spain


storypage_APlogo_01.png




PRINT RSS

0 comments »

Updated Feb 21, 2011 5:00 PM ET
Raul Tamudo's second-half goal lifted Real Sociedad to a 1-0 win over Mallorca on Monday in the Spanish league.

Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats

Under gusting winds and rain, both teams had difficulties creating clear-cut scoring chances in the first half at Anoeta stadium.
Sociedad was the better team after the restart, and Tamudo rose up to head home Daniel Estrada's cross in the 55th for his third goal in four games.
Xabi Prieto came close to doubling the Basque club's lead in the 70th when his lob hit the crossbar.
It was Sociedad's third straight home win and pushed the club to within three points of the Europa League positions.
Earlier in round 24, Barcelona beat Athletic Bilbao 2-1 to remain five points clear of second-place Real Madrid, which downed Levante 2-0.



PRINT RSS




Member Comments

Please note by clicking on "add a comment" you acknowledge that you have read the Terms of Use and the comment you are posting is in compliance with such terms. Be polite. Inappropriate posts may be removed by the moderator.
LOG IN TO ADD A COMMENT PREV NEXT


Post Comment

  • No comments yet.
 
Wachezaji Yanga watua Gongo la Mboto Send to a friend Tuesday, 22 February 2011 20:40

yangabasi.jpg
Baadhi ya wachezaji wa Yanga wakilisukuma basi lao baada ya kugoma kuwaka mara baada ya kumalizika kutoa misaada ya kuwafariji waathirika wa mabomu yaliyolipuka kwenye ghala kuu la jeshi katika kambi ya Gongo la Mboto, Dar es Salaam. Picha na Silvan Kiwale.

Mwandishi Wetu
WACHEZAJI wa klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, wamejitokeza katika kambi ya waathiriki wa mabomu iliyopo Stakishari, Ukonga Dar es Salaam na kuwafariji wakazi wa eneo hilo.

Wakazi wa Gongo la Mboto jijini Dar es Saalam na maeneo jirani walikumbwa na kadhia ya mabomu yaliyolipuka kutoka katika ghala kuu la jeshi lililokuwa katika kambi ya Gongo la Mboto, nje kidogo ya Dar es Salaam.

Kutokana na milipuko hiyo, watu zaidi ya 40 walifariki na kuacha wengine zaidi ya 300 kujeruhiwa kutokana na milipuko hiyo ya pili kutokea katika kambi hiyo. Milipuko mingine ilitokea 2005.

Wachezaji wa Yanga wakiongozwa na nahodha wao, Shadrack Nsajigwa walikuwa wamebeba katoni za sabuni na maji ya kunywa na kuzikabidhi kwa Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck.

Yanga waliwasili katika kambi hiyo majira ya saa 7:30 mchana, na kwenda moja kwa moja kwa wahanga hao na kuwashika mikono ya faraja huku wakishuhudiwa na umati wa watu waliofika wakati kitendo hicho kikifanyika.

Wachezaji hao waliwasili katika eneo hilo baada ya kumaliza mazoezi ya asubuhi ikiongozwa na makocha wao pamoja na baadhi ya viongozi walitoa misaada ya katoni za maji pamoja na sabuni kwa wakazi msaada wenye thamani isiyozidi sh100,000

Akizungumza kwa niaba ya uongozi wa Yanga, mjumbe wa Kamati ya Utendaji Yanga Mohamed Bhinda alisema wao kama sahemu ya jamii wameguswa na tatizo lililowakumba wakazi hao na kuamua kutoa kidogo walichopata kama msaada kwa wakazi wa eneo hilo.

Alisema msaada huo umetolewa na wachezaji ambao waliguswa kutokana na baadhi ya wenzao kuishi maeneo hayo na kuona wao ni moja ya sehemu kubwa katika jamii hivyo kusukumwa kutoa mchango huo.

"Mara baada ya kumalizika kwa mchezo wao mjini Bukoba wakati wanarudi ndipo walipata taarifa hizi na kuonekana kuguswa zaidi hivyo hiki kidogo walichopata wameona ni vyema kuja kujitolea ili nao waweze kuonekana kama msaada wa jamiii," alisema Bhinda.

Nsajigwa akizungumza kwa niaba ya wachezaji wenzake, alisema wameamua kusaidia waathirika hao kutokana na kuguswa na janga hilo na kutoa changamoto kwa watu mbalimbali kujitokeza na kutoa misaada yao.

Wakati wachezaji hao wanaondoka katika hali ya kushangaza gari lao liligoma kuwaka hivyo kuwalazimu baadhi wa wakazi ambao ni waathirika wa mabomu hayo kulazimika kusukuma gari hilo hadi lilipowaka.

Wachezaji mbalimbali wameguswa na hali hiyo akiwemo kiungo wa Yanga, Geofrey Bonny, Ally Mustapher 'Barthez' na Mussa Hassan Mgosi na mchezaji wa zamani wa Simba, Emmanuel Gabriel. Pia yumo Bakari Omary wa African Lyon.

Wakati huo huo, wanamuziki wa bendi ya African Stars, 'Twanga Pepeta' wametoa msaada wa vyakula ikiwemo sukari, nguo, mchele kwa waathirika hao wa mabomu wa Gongo la Mboto na vitongoji vyake.

Wanamuziki hao walitoa msaada huo kwenye Kambi ya Sitakishari, Ukonga huku Mkuruugenzi wa Bendi hiyo Asha Baraka akisisitiza watu mbalimbali wazidi kujitokeza kusaidia wakazi hao ambao kwa sasa hawana makazi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom