Michepuko uimarisha ndoa na uchumi kama utawatumia vizuri

Michepuko uimarisha ndoa na uchumi kama utawatumia vizuri

Sasa hivi anapishana na mkewe jikoni; heshima lazima itoweke; Ila angebaki kwenye mishe zake, huku akiwa na kipoozeo kwa pembeni pale bi mkubwa hayupo, maisha yangekuwa safi.
Mambo yao tuwaachie wenyewe!! Kila mmoja Apambane nahali yake! No way
 
Kuna rafiki yangu mmoja yupo kwenye ndoa huu ni mwaka wa 19, wameishi pamoja na mkewe kwa muda mrefu, na hii imechangiwa pia kwa kufanya kazi mkoa ambapo wote wanaishi pamoja.

Amejitahidi kujiwekeza anavyoweza ila mwaka juzi alipata uhamisho wa kikazi wa kwenda mkoa wa mbali.

Kufika huko mkoani akaanza maisha mapya ya ubachela, mbaya zaidi hakuwa na mchepuko. Ikawa anajitahidi kila wakati kumtumia mkewe nauli ili aende akamalize haja zake.
​
Basi jamaa ikabidi apambane anavyoweza ili aweze kurudi nyumbani akaishi na mkewe kwa kujiajiri, akafanikiwa kununua Hiace.

Kutokana na nguvu ya kumpenda mkewe pamoja na kuhisi labda wakulungwa wanamfaidi, akaamua kuacha kazi, na kurudi kwa mkewe.

Mbaya zaidi, gari yake bado hajaikamilisha kwenye usajili, imepaki nyumbani tu, na amekuwa ni baba wa nyumbani. Mpaka mkewe ameanza kumdharau, kwa sababu hakuna mapato yanayoingia.

Na mapenzi yameanza kuchuja

Chakujifunza: nguvu ya mwanaume ni pesa, huko alipo kama angekuwa na mchepuko pesa ingekuwepo na heshima ingekuwepo.​
Huyu jamaaa ni falaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa hivi anapishana na mkewe jikoni; heshima lazima itoweke; Ila angebaki kwenye mishe zake, huku akiwa na kipoozeo kwa pembeni pale bi mkubwa hayupo, maisha yangekuwa safi.
Kipozeo muhimu sana....kwanza nashangaa sana kwa nini wanawake wanapinga micheps, anakusaidia kupumziaha mbususu yako
 
Back
Top Bottom