Michepuko inafilisi

Na inafilisi hasaaa...lakini hamkutumwa kuwafata ni tamaa zenu tu..

Mi naona wawafilisi tu mana wapo kazini
 
We kama uchumi wako hauruhusu kumiliki mabinti baki njia kuu.
 
Hakuna kipindi imewahi tokea mtu akawa na mpenzi wake peke yake!!
Ndio maana ikaletwa amri ya *usizini*
Lengo halikuwa kwa ambao wapo singo.
uzinzi ulikuwepo kwa wanaume na wanawake.
Hivyo kudhani una mpenzi wako peke yako Ni kufichama kichwa na kiwiliwili chote umeacha nje!!
Mama pekee ndio anaweza kuwa mmoja.
Wengine tunashare tu. Na kuoa Ni kwa sababu ya taratibu tu za wanadamu walizozieweka.

Tafuta furaha yako Basi!!
 
Umenena vyema
 
hahaahaaa....

Inategemea mchepuko na mchepuko..
 
Hivi kwanini mnazifunga profiles zenu!!!?
 
kuna mmoja ni mwanachuo fulan,ana chura matata leo anataka umpe fedha ya matumizi ya mwezi mzima,hujakaa sawa anataka laptop,hujageuka unaambiwa wazazi wangu wanataka matumizi....maji yamenifika shingoni inabidi nikimbie tu.
Sasa utakuwa na akili nzuri kweli....kama unajiona huwezi kuhudumia vyote hivyo si unajilazimisha kuridhika na mkeo.

Hawa wazuri unaishia kuwaangalia tu jioni unamalizia hamu kwa mkeo.
 
Saw
Sawa
 
Sasa utakuwa na akili nzuri kweli....kama unajiona huwezi kuhudumia vyote hivyo si unajilazimisha kuridhika na mkeo.

Hawa wazuri unaishia kuwaangalia tu jioni unamalizia hamu kwa mkeo.
ha ha ha ha ha ama kweli vizuri ni garama
 
Niligundua hilo mapema nikaacha nikaona nifanye tu maisha na Mke wangu baada ya kuacha haijapita miaka mingi nikajikuta yale malengo yangu tulopanga na Mke wangu kwa kiac kikubwa yametimia japo kipato changu na cha mwenzangu nichakawaida.
Amini kila kitu kinahitaji ujitoe siku hz nikiona tako nimelitamani kitaaa hacra zote naenda malizia home faida nimeiona kubwa sana kwanza familia inastawi na upendo unaongezeka

Maisha kila mtu anastahili yke lkn michepuko cyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…