kwa attitude yako ataanza nae kupenda soka tu
demba muache achepuke tu kana kwamba misina nyongo.wala usimtafute kaa kimya kurudisha hadhi yako
Duh weldi kapu inabidi iwe miezi mitatu mweeeeeee nimerudi asubuhi hii na amani ipo nyumbani ni vile nawasilisha matokeo tu,Brazil nipeni raha mie msimu huu wa kuchepuka.
utamuwezea wapi mtu ana ndevu 800?
Sasa la aziz! Leo kuna mechi tatu, halafu Kali zaidi ni ile inayoanza saa 5 usiku (kwa saa za Uingereza). Nitarudi punde tu baada ya kuisha hiyo mechi.
Hahaaa, namkaribisha, ila awe na moyo mgumu na wa uvumilivu tu, tusisumbuane, maana sometime huwa natembea hadi kibaha kuangalia mechi kutoka Gongo la Mboto!
Huu sasa mfumo jike... Na nikibakiba home kuangalia mechi, remote unaka nayo halafu tunaanza kuwekea AKAPUKO BEI...
Raha ya mechi baaa banaaaa
Hahahahaha...unalo! Tafuta gia nyingine ya kuondokea nyumbani.
Hahaaa, namkaribisha, ila awe na moyo mgumu na wa uvumilivu tu, tusisumbuane, maana sometime huwa natembea hadi kibaha kuangalia mechi kutoka Gongo la Mboto!