Hahaaa, nimeipenda hii. Ila mi nitasema tumepewa offer ya kuangalizia mpira hotel, mens only bila wake zao maana wataharibu ushangiliaji!
seems kuna point hapa eeeh, umenishtua sana, nimeghairi siendi
hapana hapana kuna ruhusa zinatolewa faster faster na rejareja hapana hapana I say no siendi nitatizamia nyumbani aiseeee, kha!!Mtenda akitendewa!!!
seems kuna point hapa eeeh, umenishtua sana, nimeghairi siendi
hapana hapana kuna ruhusa zinatolewa faster faster na rejareja hapana hapana I say no siendi nitatizamia nyumbani aiseeee, kha!!
wacha wajidanganye wenyewe tu bana..sie tutawachunga kama ng'ombe tutaweza wapi?
utamuwezea wapi mtu ana ndevu 800?
seems kuna point hapa eeeh, umenishtua sana, nimeghairi siendi
Ndio dawa yenu mtu kutojali tu!
Hata mechi zikiisha saa 4 wewe ukarudi saa 6 huulizwi,utajiongeza tu!!!
siendi na mpira siangalii tena, kwani lazima?ha ha ha kumbe mkuki kwa nguruwe eeeh?? Umenchekesha.nenda tu baba nakuangalia tu!!!
siendi na mpira siangalii tena, kwani lazima?
mnanisababishia stress tu hapa, ohoooo nitarudi home sasa hivi nikamrudishe kwao!!! Nyie hayeni tuHahaaaa!!
Kumbe inauma eeee
Hamna jema,hata mke akijitolea kulipia Premium ili uangalie mechi zote home utadai bila company hainogi,akikuruhusu ukaribishe marafiki atakoma hizo kelele na hiyo sebule itakavyofanana!!!
Muende tu!!
Hasa hasa ile mechi ya saa kumi usiku, naenda kulala karibu na eneo la tukio..
Hahahaaaaa,tena imebidi jana ki tv changu nikipigishe short kiungue ili niweze kupata nafasi ya kutoka!Mpira nyumbani haunogi wala nini!Jamani tunaangalia mpira sio kuchepuka!!Hahahaahaaaa
Aende tu,tena akinogewa aseme kashinda ticket ya kwenda Brazil kabisa ili ahamie huko huko!!!
Hahhahaha. ...lol