Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,107
- 55,524
Kweli michepuko imenisaidia sana, sifa zote ziende kwao:-
- Hasira za hovyo hovyo kwa bi mkubwa sina
- Wivu wa hovyo hovyo sina
- Simsumbui sumbui bi mkubwa kwa tendo akiwa amechoka.
- Muda wote tunacheka tu kwa furaha na utani uliopitiliza.
- Watoto wako bize na masomo yao
- Na mimi muda wote nina furaha
Kweli wanaume hatujaumbiwa kuwa na mwanamke mmoja, kama utalazimisha kuwa na mmoja, jiandae kwa kero zilizopo, moja wapo likiwa ni kupatwa na magonjwa ya akili.
Kwa asili, dume ameumbwa kuwa na majike mengi kutokana na sababu za kimaumbile.
Tuliojua hiyo siri, ngoja tuendelee kufurahia maisha.
Kwa asili, dume ameumbwa kuwa na majike mengi kutokana na sababu za kimaumbile.
Tuliojua hiyo siri, ngoja tuendelee kufurahia maisha.