Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,415
- 30,132
SawaMpango wa kando
SawaMpango wa kando
DadekiiKataa ndoa hadi sheria kandamizi ya mahusiano ya ndoa ifanyiwe reform.
Michepuko na idumu ingawa mimi sichepuki![]()
Unakuta na mkeo pia anamchepuko wake unaompa amani, so mkeo akisoma huu uzi anakuunga mkono kwa asilimia mia ",michepuko na iheshimiwe" kwa kua hajui kama MIXOLOGIST ndio mumewe











Eti babe bye ndo naingia getini.... keshooo eee
I love uu
I love u my foot unaempenda ni huyo unayemuogopa......


baby usipige simu tuma meseji mke wangu karudi nyie 

