Unalo,naona wanizonga tu kila penye riziki....sikubali nakuambia,hapa hunishindi!
Michelle baby nisikilize. Mimi wanawake watoa ushauri nani umkatae na umkubali
hawako sinsia nawajua. Huyu Asha kama hua anakupa go ahead
basi yeye ndio sababu kubwa ya moyo wako kuumizwa. Achana nae i will treat u like a queen u ar. Tena ukute akija atataka abadili nafasi yako, kama vipi mpotezee huko!
He he he, sasa hivi nimetulia
Hapa sikubanii rizki, leo nataka upate.
Naskia una mapacha watatu?
Nani atampa hiyo rehab jamani? Is he still addicted to w.....n??
who is she? Achana na huyo Asha. Utakua hujashtuka mtoto mrembo na mtulivu kama wewe
lazma anakuonea wivu big time.
Atakudanganya. Come baby nina mengi ya kukupatia u will lav it.
LOL Open your eyes.....
:car: :car: :shock: :shock:
He he he he he Shabhan, simpotezei mimi....wanasema usiache mbachao kwa msala upitao....hamuaminiki kabisa...!
Ila Asha is my diamond,and you know diamonds are forever...lol :smile-big:
Kamanda kama unataka kufanya progress, hakuna namna bila kupita hapo kwa AshaDii...si unafahamu kitu chnagu cha ukwee hapa jamvini....kama vipi nione kiutu uzima
Masahihisho: Bold isomeke Baba Mapacha watatu wako. Haya rudia kwa sauti Lusinde asikie kudadadadadekiWashafungua macho hujafika,napata wasiwasi Babu...aka baba watoto....wajukuu mliobaki...tuheshimiane! :washing:
Kongosho asali ya ODM, Come this way tupandikishe mbegu zetu tuvune dabo dabo.afu wewe, hizi mbegu dabo dabo si bora uzipake kwenye shamba letu la mahindi yatoe mahindi mawili mawili.
Khaa!Please, mchukue kama ODM akimkimbia
huwa hawezi ishi peke ake.
kamanda na wewe humo? Yani una supoti hadi nipite huko?
I dnt like the sound of her! Ataniwekea tu uzio, wanawake wanaokuwadia wabaya sana.
Wana wivu kwa wenzao hasa kama mrembo kama Michelle wa Shabhan.
Ushasahau kuwa sisi ni kitu kimoja: Hapo pasomeke ntakusaidia kulea mapacha wangu na ODM. Haya sema kwa kiinglishi masharobaro wakuelewe.:yo:hope unakumbuka I chased you somewhere.
Ntakusaidia kulea mapacha wa ODM.
Sioni kama kuna sehemu umemwambia kuwa na ODM ni hommie wako..... Hii inaashiria nini homeboy?hahah Kamanda kubali ukatae unahitaji Social capital hapo
AshaDii is my queen here, and Michelle is her close friend, so in a way hakukuwadii in the strict sense....ukipigana mwenyewe if anything, you will win the battle, but not the war!
"Mkataa jembe, hajua faida za tractor"
That's a definition of ABOMINATION.:banplease:kamanda na wewe humo? Yani una supoti hadi nipite huko?
I dnt like the sound of her! Ataniwekea tu uzio, wanawake wanaokuwadia wabaya sana.
Wana wivu kwa wenzao hasa kama mrembo kama Michelle wa Shabhan.
Sioni kama kuna sehemu umemwambia kuwa na ODM ni hommie wako..... Hii inaashiria nini homeboy?
That's my boy. Do me a favor.... usimwambie namiliki silaha gani, sawa eh?Hommie mdogo mdogo, Shabby hapo anataka 'kukamatana na Michelle' peke yake...sasa ndo nammwamia itakuwa ngumu......
hajatambua bado kama wewe ndo mkaguzi mkuuu!
hahah Kamanda kubali ukatae unahitaji Social capital hapo
AshaDii is my queen here, and Michelle is her close friend, so in a way hakukuwadii in the strict sense....ukipigana mwenyewe if anything, you will win the battle, but not the war!
"Mkataa jembe, hajua faida za tractor"
That's a definition of ABOMINATION.:banplease:
Unajua kusoma wewe? Haya soma maandiko matakatifu hapo chinikamanda abomination ipo wapi hapo mazee?
Hivi nyie mnategemea mtu mwenye mimba ya miezi tisa ya mapacha watatu ataweza kubofya haya makitu?
Nilimshauri tuwe tunatumia kondom hakutaka kunisikia
Ona sasa yaliyomkuta Michelle..... Chezeya mimba za ODM?
Babu ODM nimejifungua mapacha wako....asante kwa kunituliza manake hata kuongea achilia mbali kuandika kwa laptop sikuwa naweza...natumai utanirudisha kwenye hali yangu.....lol
Nawapenda wote....Tuko Pamoja!!
That's my boy. Do me a favor.... usimwambie namiliki silaha gani, sawa eh?