Michelle.........

Thank u, thank u, thank u my queen. Kule kwetu migombani
mwanamke akikuambia sina la kusema na kicheko kingi juu
ina maana kakubali! Kamwe hutajuta my queen, nitakuwa mtiifu na
muaminifu kwako kila nikiwa karibi nawewe.

Kwa uzoefu wangu wanaume wenye maneno matamu si watekelezaji wa sera zao....:yo:
 
hata ungo haufai kukufikisha hapa???

Basi pole, acha sie tuponde raha kati kati ya shida za uchumi wa nji hii.
we gambachovu na konnie,acheni kutongozana kwenye uzi wangu!
 
Michelle uzi wa Sheby chichat title 'Queen Michelle....',umeuona? umefurahi eh? MWONE! HAMUACHANI TU?
 
Kwa uzoefu wangu wanaume wenye maneno matamu si watekelezaji wa sera zao....:yo:

enh nipewe feedback jaman...............jipya lolote hapa??
kidume sheby kimefanikiwa??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…