Michelle my queen wat is this? Nimekuota leo baby tukiwa ufukweni upepo
mwanana ukipiga uso wako ukiwa umeshehen raha ya ajabuikiwa imesimikwa kwa mapenzi ulio nayo juu yangu. Sura yako my queen
ilikua ni kioo cha sura yangu. Ghafla likaja limtu la ajabu kutaka kututenganisha.
Sikukubali my queen! Nimepambana na hilo lijitu na kulikata shingo. Michelle my queen mimi ni mtoto wa chifu najua kusoama maana ya ndoto. Hio ndoto maana yake
kuna watu wanatuonea kijicho na hawataki tuwe wote. Usisikie maneno ya watu. Njoo queen wangu nikupe maraha na hao malaika tulee sote.
mmh sisy michelle kazi kwako aisee shabhan ndio huyoo tena!
unachek verse izoo! hahaha!
Duh, Tanzania hii na watu hawa sijui kama mkurabita utafanikiwa.
Ndo napiga mahesabu hivo namna ya kuishusha ndoto yangu ikanyage dunia,especially over easter maana taarifa za kiintelijensia zinasema mshua HC atajichimbia Dubai na kongosho.He he he he he......that's a very sweet dream....i just wish i could make it a reality....if only......:A S 39: :bounce:
Naona kadhamiria kumuumiza mzee wa totoz my dear....soon will be obsessed...lol
Any advise?? :A S 39: lol...nilikumiss!
Ndo napiga mahesabu hivo namna ya kuishusha ndoto yangu ikanyage dunia,especially over easter maana taarifa za kiintelijensia zinasema mshua HC atajichimbia Dubai na kongosho.
nilikumiss pia sisy wangu jaman, hope ur owkay.....
well well! wenye verse kama sharban walaghai dada yangu................dnt get obssesd atakumwagajeee....!
Temptation....Shabhan acha kuniweka majaribuni....nina stress za kutosha na hawa watoto na babu asiyeonekana...!!
Am not in a position to make a good decision....lol :smash:
Am well my sisy....nafurahi ushamsoma huyu Shabhan....anafanya ushindani kwenye masuala ya moyo?? :nono::nono:
Si unaona Arumeru tulivyofanikiwa.He he he he.....hupitwi?? MKURABITA kwako umefanikiwa??? muone kwanza.....:car:
Watu hawa kina nani?
sio ushindan my queen ni mapenzi moto moto na ya dhati juu yako.
Moyo wako nitauvingirisha madini adimi yaliyonakshiwa na mapenzi ya dhati furaha na amani.
My queen huna haja ya kua na stress. Watoto ni chanzo cha furaha na amani ndani ya nyumba
lete huku hao pachaz na nitato huduma na mapezi juu yao
kimafungu ma tatu tatu.
Wewe utawashila wakiwa wanacheka mimi wakiwa wanalia. Mtoto mzuri wewe stress haina nafasi unapokua na Shabhan.
Wil u b mine? Say yes my queen.
Duh! No comment....lol
He he he he he sikuwezi....you just made my evening....nimechekaje....mi nitawashika wakiwa wanacheka we wakiwa wanalia....i wish you were real....lol
Mbona sielewi hapa?