Michelle wetu kunani jaman!

Nilijua angepata BAN majibu yake ya jana yalikuwa makali. Ni kama alikuwa amevaa gloves. Nilikoswa sumbwi lake moja, kwa kuwa Rev ni mjanja wa kukwepa. Maisha yataendelea nadhani ile ID yake nyingine nimeiona sehemu ....yupo!
Masa kule bana baada ya kuchangia ilibidi nikae kimya maana kuna mtu anaitwa Topical was getting into my nerves nikaona bora kukaa kimya maana BAN yangu nilikuwa naiona nje nje
 
I dont think if its creating unneccessary work for MODS kama ukiomba BAN wakakupa, btw to BAN someone its just a matter of seconds if not minutes
I dont know Mkuu mimi binafsi huwa nikitaka BAN huwa ninasepa tu..., sasa hii ya kuomba BAN inaenda against the reason of Banning people BAN ni kama adhabu sio kumpa mtu likizo...,

Anyway Matter of Seconds multiplied by 60 people that is a minute ambayo MODS wangeitumia constructively to take a sip of coffee ili usiku awe macho kuangalia wanaochafua majukwaa... au unasemaje mkuu? After all Mods na wenyewe ni wenzetu ambao tunaitaji michango yao pia wachangie posts
 
Heee!
Watu wanashindwa kujizuia kuingia JF hadi waombe ban!!
Jamani, aunt michelle........
 
aaaah nae bora kapigwa ban kwa haki mana jana alikua akitoa majibu ya kashfa sana..................
 
Masa kule bana baada ya kuchangia ilibidi nikae kimya maana kuna mtu anaitwa Topical was getting into my nerves nikaona bora kukaa kimya maana BAN yangu nilikuwa naiona nje nje

Topical ni kiboko! Mimi huwa namwambia anapenda ubwabwa basi anachukia mimi nasepa!
 
Jana hali ya hewa ilikuwa imechafuka jukwaa KUU na Michelle naona alishindwa kuzuia hisia zake.

Tutakukosa dada!!
 
Jana hali ya hewa ilikuwa imechafuka jukwaa KUU na Michelle naona alishindwa kuzuia hisia zake.

Tutakukosa dada!!
Realman naomba niambie ni post gani ilileta mtafaruku na mimi nikaipitie
 
Mrudisheni Mcihele please, she is good kwenye haya mambo ya urafiki...! Mpigeni ban kwenye jukwaa la siasa...! Sikujua Michelle nae ni sehemu ya watu wanaotoa crap mpka jana niliposoma ile post yake kule Jukwaa ka Siasa...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom