Michelle Obama

Michelle Obama

To say the truth Obama out of a teleprompter is like any ordinary people, there are bunch of fail compilations Obama loosed to deliver or to cope with the previous speech flow due to the misconduct of his teleprompter.

Most of his catchy speeches teleprompter did them, addicted enough even some minor phrases he uses it.
Obama-Teleprompter-AFL-CIO.jpg
 
kui niliiangalia hii hotuba jana, ila ilipofika hapa nikashindwa kujizuia flood gates zikashindwa kufanya kazi, very touching.




Yaani acha tu, I was trying to hold myself back so hard, halafu nilikuwa siamini amini kama kweli alikuwa anaaga. Na ka Malia kalivyo lia ndo kakazidi kuniumiza..
 
Pole sana 8 years seems like yesterday.

Yaani acha tu, I was trying to hold myself back so hard, nilikuwa siamini amini kama kweli alikuwa anaaga. Na ka Malia kalivyo lia ndo kakazidi kuniumiza...
 
  • Thanks
Reactions: kui
Hakuna Raisi aliyepromote Ushoga duniani kama Obama

Hakuna Raisi aliyeua watu wengi wasio na hatia kwa kutumia drones kama Obama

Hakuna raisi wa Marekani aliyetangaza vita na nchi ya kiafrika isipokuwa Obama, na kutumia resource za kijeshi ili kumuondoa mtawala wa Lubya, Muammar Ghadafi!


Kiufupi ukiondoa uwezo wa kuongea " Rhetoric" , huyu jamaa kaleta hasara kubwa duniani!
Dah.... Na hapa kinachojadiliwa ni huo uwezo wa kuongea....[emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom