BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,337
- Thread starter
- #101
Baadhi ya wanaume DEMBA. Always remember that 🙂🙂🙂
obama is such a gentleman...kwenye interview moja niliona host amewauliza wakiwa kwenye ubishani nani hutoa neno la mwisho, michelle akasema yeye ndio hufunga mjadala na obama huwa anaamua kumuachia tu ajione mshindi....huku kwetu bishana na mwanaume kama hujala mingumi na mateke ya tumbo