Michelle Obama

Michelle Obama

Hakuna Raisi aliyepromote Ushoga duniani kama Obama

Hakuna Raisi aliyeua watu wengi wasio na hatia kwa kutumia drones kama Obama

Hakuna raisi wa Marekani aliyetangaza vita na nchi ya kiafrika isipokuwa Obama, na kutumia resource za kijeshi ili kumuondoa mtawala wa Lubya, Muammar Ghadafi!

Kiufupi ukiondoa uwezo wa kuongea " Rhetoric" , huyu jamaa kaleta hasara kubwa duniani!
Ukweli unapindishwa tuuu! Obama aliyakuta yote haya yalishaandaliwa na utawala uliopita. Kuanzia 2001 ilikuwa kazi ni moja ku deal na issue za Middle East. Best family kuwa White House hata conservatives wanalijua hilo.
 
Mmm hivi unaanzaje kuongea kwa niaba ya mamilon ya watu?
 
Inasikitisha mno kuona hawa GOP wanavyojaribu kumpiga vita Obama pamoja na mafanikio yake makubwa sana kama Rais kuliko Rais yeyote yule kabla yake.

Aliingia wakati uchumi wa Marekani ukiwa umeanguka huku wakipoteza ajira laki nane kwa mwezi kutokana na madudu yaliyofanywa na Bush.

Pamoja na vipingamizi vyote vya GOP sera zake ziliimarisha tena uchumi wa Marekani na kuweza kucreate ajira 15 million kwa miaka minane sawa na ajira 7.5 million kila awamu moja na kushusha unemployment rate to below 5% which is a huge achievement. Stock market nayo ambayo ilikuwa imeanguka vibaya sana wakati wa Bush, pia kupitia sera za obama ikafanya vizuri sana katika kipindi hicho cha miaka minane. 20 million Americans ambao hawakuwa na health care wakaweza kupata health care kupitia Obama care.

Yote haya bado hawa GOP hawataki kumpa credit hata chembe.

..hata chembe, and with all this done, they'll still be delighted to see his legacy come crashing down, unless, Prez elect keep his promise not to repeal the O Care as he said. But, they say never trust a Repub. Remember Comey..🙂
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom