Michelle Obama safi sana!!!

we na tamaa zako mbona mwanamke wa kawaida sana huyu.labda tuambie we kakuvutia kipi.
 
Michelle Obama Moto wa kuotea mbali huo ohhh Mzee Obama anafaidi hapa Mwanamke haswa aliye kamilika au sio wakuu wenzangu mnasemaje?:A S 39:

Haaahaa! Sidhani kama Obama anafaidi kama mimi....
 
Michelle Obama Moto wa kuotea mbali huo ohhh Mzee Obama anafaidi hapa Mwanamke haswa aliye kamilika au sio wakuu wenzangu mnasemaje?:A S 39:

Hahahaaaa wacheni maskhara bana. Michelle ni wa kawaida sana. She ain't a beauty queen by any measure.
 
au sababu ni 1st lady watu wanashindwa kuwa objective!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…