Ama kweli madada fundi wao ni kipofu na huyo aleelita kamada haka ndo kaona la maana sana ni sawa sawa na kuchukuwa kiatu chake na kujipiga nacho mwenyewe na mi nilimuona wa maana kumbe ni sawa na commedy ya kina JOTI
Huyu jamaa Ni raisi kilaza si ajabu Marekani haijawahi kupata, na ninaamini Wamarekani wanajuta sana kumchagua huyu jamaa, hakuna kitu amefanya tangu amaingia zaidi ya usanii tu na kudanganya Watu sasa Marekani imeshuka mpaka inapigwa mkwara na Urusi, Dunia nzima inamuona Putini ana akili kuliko huyu kilaza, nilikuwa naifagilia Marekani sana hapo mwanzoni lkn huyu Jamaa na mke wake wameishushia hadhi Marekani sana
hapa Duniani, hakuna Mtu anaheshimu Marekani tena, kazi kucheka cheka na kukenua meno hata kwenye mambo yasiyohitaji kucheka kama kwenye msiba wa Mandela!
Huyu Jamaa pmja na Kikwete, Zuma, na Uhuru Kenyata ni maraisi vilaza si ajabu hawajahi kutokea kuongoza Nchi zao wote wote mchango wao mkubwa kwenye Nchi zao ni kwamba wameshusha hadhi ya Uraisi sana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.