Michelle Obama anunua malimbwende ya dola 50,000

kmdh

JF-Expert Member
May 19, 2010
503
120
Huyu mama naona ana katabia ka Grace Mugabe au yule Imelda Marcos. Tangu mumewe apewe uraisi yeye anapiga matanuzi tuu wakati Wamarekani wengi wanataabika kiuchumi. Sema ana bahati kwa sababu vyombo vya habari vya Marekani vinambeba Obama na huwa zinaficha habari kama hizi na Wamarekani wengi hawapati picha.

Agent Provocateur sales boosted by US First Lady Michelle Obama

Agent Provocateur saw sales jump by more than 12pc, helped by US First Lady Michelle Obama spending $50,000 (£31,794) in one shopping spree.

obama_2123269b.jpg
Michelle Obama's shopping spree caused part of Madison Avenue to be closed off Photo: AFP









By Helia Ebrahimi

8:46PM GMT 29 Jan 2012




The First Lady – better known for shopping at more modestly-priced High Street stores – along with the Queen of Qatar, Sheikha Mozah, closed off part of Madison Avenue to spend time in the luxury lingerie shop. Their purchases contributed to a market-spanking 12.5pc lift in sales.

Agent Provocateur, which is styled on vintage Hollywood glamour, sells handmade Calais lace corsets that sell for up to £900, which could ruffle the feathers of more than just President Barack Obama in an election year.

Gary Hogarth, Agent Provocateur's chief executive, refused to be drawn on the store's closely kept "secret client list". But he admitted the brand had attracted a high number of "unexpected famous names" – especially in the US, where sales have overtaken the UK.

On the back of this growth, Agent Provocateur, which is owned by listed private equity firm 3i, is launching an aggressive expansion strategy with more than 20 new shops opening globally in 2012.

Last-minute purchases of lace corsetry and satin bras pushed Christmas trading across the eight weeks from November 27 up 8.1pc on a like-for-like basis and 15.2pc overall. In the last 43 weeks, trading has been up 12.5pc on a like-for-like basis and 21.6pc overall, outstripping most of its retail rivals. The company’s lack of competition, celebrity status and up-market clientele have insulated it from problems endured by most rival retailers. In October the company said half-year sales were up a third to £26.6m with earnings of £3.3m.



“This is a real luxury brand,” says Mr Hogarth. “But now it is also being run with a strong business discipline. That has meant a lot of changes to the finance team, mer*chandising and production and planning. It also means negotiating on every rental contract – which is more than possible in this market.”
3i’s £69m purchase of the company at the height of the 2007 buy-out bubble left the private equity firm holding all the debt. Insiders say this costly misstep has ironically allowed the business to survive across two very difficult years of trading. Now, the company’s recovery is out*pacing even 3i’s projections.
“The glamour of the AP brand is really powerful – it has a luxurious quality, that means people have a sense of walking away with a special purchase even when they are buying a pair of knickers,” says Mr Hogarth.


Agent Provocateur sales boosted by US First Lady Michelle Obama - Telegraph

 
Kwani hiyo pesa inatoka wapi?
Kwenye mfuko wa serikali moja kwa moja au kwenye mfuko wao wa familia?
Kama ni yao acha atumie vile apendavyo. . .sisi wakwetu wanasindika mpaka za serikali.
 
Mimi sipendi watu wanaomchukia huyu mama obama
anavaa kawaida sana,
ana maisha ya kawaida kuliko wanavyotanua wake wa marais wengine,
au mlitaka kuona akila hela zenu za kodi ndo mngefurahia.

I like u mama michelle obama,
wewe ni mwanamke jasiri.
 
wetu kutwa anavaa mivitenge na tenge lingine anaweka begani as if anatoka kwenye msiba..sijui hana watu wa kumshauri jinsi ya kuvaaa..aaagh by the way hayuko expensive maana hayo mavitenge ni 8,000
 
wetu kutwa anavaa mivitenge na tenge lingine anaweka begani as if anatoka kwenye msiba..sijui hana watu wa kumshauri jinsi ya kuvaaa..aaagh by the way hayuko expensive maana hayo mavitenge ni 8,000
Hakuna kitu kinacho niudhi kama shuka wanaloweka begani,hivi ina maana niangusage hapa hapa na shuka ninalo.
 
Hayo makwapa!!

Halafu wala si mzuri kihivyo. Watu wanashoboka tu kwa vile ni mke wa raisi wa Marekani.

If anything, she looks mannish to me.
 
Mkuu kabla hujachoropoa tabloid stories kwenye unreliable websites you need to know that this 2012. The year of general in US, many of these type of stories will come but most of them will be smear. How come an individual can boost sales of shop by 12.5pct?. Unless you have Obamas you can agree with this story.

BTW, Obamas spend their own money benefited from the sale of their books. Tusubiri kwanza Republicans waamue nani awe mshika mkonga wa tembo wao kuchuana na Obama Nov 6 2012 then tuanze dabate hapa.
 
Huyu mama nae ni muuaji tu kama mume wake hana lolote...ingalikua hilo limefanywa na mke wa kiongozi wa Afrika hata kama ni zake binafsi ingekua front page kwenye gazeti lao la kishetani Washngton Post...na Reuters..japo ukweli sisi Miafrika tuna laana...
 
Mkuu kabla hujachoropoa tabloid stories kwenye unreliable websites you need to know that this 2012. The year of general in US, many of these type of stories will come but most of them will be smear. How come an individual can boost sales of shop by 12.5pct?. Unless you have Obamas you can agree with this story.

BTW, Obamas spend their own money benefited from the sale of their books. Tusubiri kwanza Republicans waamue nani awe mshika mkonga wa tembo wao kuchuana na Obama Nov 6 2012 then tuanze dabate hapa.

Wewe unajua kuwa kuwa hela za vitabu vya Obama walitoa donation? Usiongee kama hujaenda shule. Na kama wakina Obama wana hela zao kwa nini wanachukua pesa za walipa kodi kama mshahara? Siyo lazima kuchukua mshahara wa serikali kama wewe una hela zako. Huyu mama Obama ana kile kikasumba cha Grace Mugabe au yule Marie Antoinete wa Ufaransa. Hii siyo ya kwanza, unakumba alipochukua washikaji zake kwenda Spain? Halafu angalia holidays zao, yaani wao ni Hawaiii au Martha Vineyard. Sehemu ambazo ni bei ghali kichizi kutembelea. Lakini wao hawajali maana kila kitu wanalipa wavuja jasho wa Marekani.
 
Hayo makwapa!!

Halafu wala si mzuri kihivyo. Watu wanashoboka tu kwa vile ni mke wa raisi wa Marekani.

If anything, she looks mannish to me.

beauty is not about the looks itself, it inclusive of power, brain, and usefulness. Acha kuwanangalia kinamama kwa sura tu kaka!
 
Mbona ni hela ndogo tu kwa mtu kama yeye. Ukitaka avae matambara a.k.a marapurapu.
 
sidhan kama dola elf 50 kwa mke wa rais wa marekani ni pesa nyingi kiasi hicho kwa ajili ya kufanya shopping!
 
Mbona ni hela ndogo tu kwa mtu kama yeye. Ukitaka avae matambara a.k.a marapurapu.

Basi hata viongozi wetu wa Afrika wanaofuja mali za umma wasilaumiwe. Wewe unaonaje hapo?
 
sidhan kama dola elf 50 kwa mke wa rais wa marekani ni pesa nyingi kiasi hicho kwa ajili ya kufanya shopping!

Kwani wewe ni mmarekani? Kama siyo mmarekani basi nenda kawaulize walala hoi wa Marekani (99%) kama mke wa raisi kununua chupi za dola elfu 50 siyo nyingi.
 
Back
Top Bottom