Miche ya nazi

Sally

Member
Feb 25, 2008
42
0
Natafuta miche ya nazi kwa ajili ya kupanda. Ningeshukuru kupata mbegu ile ya muda mfupi.Naomba mwenye kujua wapi zinapatikana anijulishe aniPM
 
Natafuta miche ya nazi kwa ajili ya kupanda. Ningeshukuru kupata mbegu ile ya muda mfupi.Naomba mwenye kujua wapi zinapatikana anijulishe aniPM

Taja offer yako nikuletee miche ya miaka 10 unakula nazi safi nina miche mingi sana!
 
Hiyo miaka 10 ni mpaka ianze kuzaa? Muda gani inaanza kuzaa na unavuna kwa muda gani? Niko Dar Es Salaam niambie unauzaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom