Kwenye ekari 1 kuna weza kuingia miche kama mingapi?Kwanza samahani boss kwa kuchelewa kujibu,Kwa siku4 nilikiwa mahali ambapo hakuna network kabisa.Samahani kwa hilo.
Bei ya mche wa papai ni sh 3500,ukihitaji miche ya eka moja tunakufanyia discount .Krib sana
Hizi ni mbegu za kisasa au za asili!?Mbegu ya pemba ipo,Hii unavuna baada ya miaka 3 .Lakini pia ipo Africantall ,unaanza kuvuna baada ya miaka 8
Niko Krt nahitaji ila naomba kujua kama miche ypte hii inastawi karatuHabari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda.
Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa.
Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu inafika mkoa
Nina eno langu 2000 sqm nataka niwe na kila mche uliotaja na bado niwe na sehemu ya kahawa ba jussi Joe unaweza e kunifanyia upembui yakinifu na mpangilio Niko TegetaKaribu sana
Huu ni wa kisasa?View attachment 1592358
Giant passion
Kuna wakongwe waliniambia baada ya muda fulani(mfupi) inagoma kuzaa tenamaan mfano, hiyo minazi ya muda mfupi, kuna mahala nilitaste madafu yake,hayana ladha kabisa.
Hii miembe baada ya muda gani inakoma kuzaa!?
ni wewe tu mkuu ,Ukitaka kuja PM au Watsapp au hapahapa be freeAlhamdulillah, nimeuona uzi mzuri km huu..
Nishaandaa peni na daftari kujifunza, itabidi univumilie zaidi kwa maswali yangu mengi mengi, sijui nije chobingo nikuhoji vizuri, sijui hapa hapa, maana maswali mengine yanajitokeza kadri ninavyosoma uzi.
tuna embe aina 7.Hii miembe baada ya muda gani inakoma kuzaa!?