INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

IMG-20210220-WA0022.jpg

Hapa ni sehemu ya uzalishaji,miche inasubiri kufanyiwa gratting na mingine kufanyiwa budding.
 
Karibuni wakuu,mvua zinatarajia kuanza. huu ni msimu mzuri wa kuanza kupanda miche
 
Asanteni kwa support mnayoendelea kunipa wakuu,mmekuwa baraka sana kwangu .Asanteni kwa kuniamini na nitaendelea kuwa muaminifu kwenu katika kuwahudumia.

Kupitia jukwaa hili nimepata wateja ambao wamekuwa marafiki pia😘

Karibuni sana SUA,Horticulture(tiba road) mjionee vitalu vyetu vyenye miche iliyo na ubora wa hali ya juu.Hapo utakutana na wahudumu(Lily mmoja wapo) watakuhudumia kwa ukarimu

0719527062/0757056472
 
Pia tunauza miti ya mbao,tuna aina zifuatazo
1.Teak
2.Cedrela
3.Pinus
4.Mkangazi
 
Ukinunua miche kwetu unapata ushauri na muongozo bure.Hii ni haki ya mteja

Mawasiliano kati yangu na mteja yatakuwa endelevu ili kumsaidia mteja kutafuta suluhisho la changamoto atakazokutana nazo katika safari yake ya kilimo cha miche ya matunda na mbao.

Asante kwa wale wanaoendelea kunipa mrejesho,ninafurahi kuwahudumia na ninapenda kuwahudumia.
 
Kwanza samahani boss kwa kuchelewa kujibu,Kwa siku4 nilikiwa mahali ambapo hakuna network kabisa.Samahani kwa hilo.
Bei ya mche wa papai ni sh 3500,ukihitaji miche ya eka moja tunakufanyia discount .Krib sana
Kwenye ekari 1 kuna weza kuingia miche kama mingapi?
 
Alhamdulillah, nimeuona uzi mzuri km huu..

Nishaandaa peni na daftari kujifunza, itabidi univumilie zaidi kwa maswali yangu mengi mengi, sijui nije chobingo nikuhoji vizuri, sijui hapa hapa, maana maswali mengine yanajitokeza kadri ninavyosoma uzi.
 
Mbegu ya pemba ipo,Hii unavuna baada ya miaka 3 .Lakini pia ipo Africantall ,unaanza kuvuna baada ya miaka 8
Hizi ni mbegu za kisasa au za asili!?

Kama ni za kisasa faida na hasara yake ni ipi, na asili je!?

Za kisasa zinakoma kuzaa baada ya muda gani, vile vile za asili nazo..
 
Habari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda.

Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa.

Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu inafika mkoa
Niko Krt nahitaji ila naomba kujua kama miche ypte hii inastawi karatu
 
Mie natamani ungekuwa dar, ukatembelea shambani kwangu, ulione ndio mengine yasogee.

Shamba lipo mkuranga(lubambawe.)
 
Alhamdulillah, nimeuona uzi mzuri km huu..

Nishaandaa peni na daftari kujifunza, itabidi univumilie zaidi kwa maswali yangu mengi mengi, sijui nije chobingo nikuhoji vizuri, sijui hapa hapa, maana maswali mengine yanajitokeza kadri ninavyosoma uzi.
ni wewe tu mkuu ,Ukitaka kuja PM au Watsapp au hapahapa be free
 
Hii miembe baada ya muda gani inakoma kuzaa!?
tuna embe aina 7.
aina mbili tu ndio zikienyeji(dodo na bolibo)
aina 5 ni za kisasa na zinaanza kutoa maua kuanzia miezi 4 na kuanza kuzaa baada ya miezi 7-8.Hapo muembe utatoa matunda mawili mpaka manne na wengi huwa wanayajoa sababu bado mti haujawa stable kubeba tunda.

Hii uliyouliza pia ni moja kati ya embe za kisasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom