Clarity
JF-Expert Member
- Jul 6, 2010
- 1,589
- 2,105
Miche yake inapatikana? Na inastawi kwenye ukanda gani? na muda gani mpaka uanze kuvunaView attachment 1619600
delicious
Miche yake inapatikana? Na inastawi kwenye ukanda gani? na muda gani mpaka uanze kuvunaView attachment 1619600
delicious
Ndio mkuu,miche ya tende tunayo na bei ni sh 3000.Miche yake inapatikana? Na inastawi kwenye ukanda gani? na muda gani mpaka uanze kuvuna
Kwa mzingira ya dsm, bagamoyo ninaweza kupanda vanilla?ipo mpendwa,vanilla iliyo kwenye pots ni sh 5000 .
Kama utahitaji mbegu ukaoteshe mwenywe ni sh 3000/=
Ndio mkuu,ila tu hakikisha ardhi ina rutuba ya kutosha na haituamishi maji.Lakini pia Joto liwe kati ya nyuzi joto 21-30.Kwa mzingira ya dsm, bagamoyo ninaweza kupanda vanilla?
Kwa mzingira ya dsm, bagamoyo ninaweza kupanda vanilla?
Asante, nitakupigiaNdio mkuu,ila tu hakikisha ardhi ina rutuba ya kutosha na haituamishi maji.Lakini pia Joto liwe kati ya nyuzi joto 21-30.
Safi mkuu, nitakutafutaHabari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda.
Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa.
Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu inafika mkoa uliopo.Kwa maswali na maelezo zaidi 0719527062/0757056472.Karibu tukuhudumie.View attachment 1557232