Miche ya Acacia /mizanzibari.

arisefarm tz

New Member
Dec 8, 2017
4
20
Acacia mangium (mkesia/mzanzibari) ni mti wa mbao ngumu ambao huvunwa baada ya miaka 7 hadi 10 baada ya kupanda.

Miche hii inapatikana kwenye vitalu vyetu vilivyopo kilombero morogoro kwa gharama nafuu.

Ukichukua kuanzia miche 500 hadi 9999 bei ni 400 /mche
Ukichukua miche 10000 hadi 99999 bei ni 350 kwa mche
Ukichukua zaidi ya miche 100000 bei ni TZS 300 kwa mche.

Bei hizi ni pamoja na usafiri kwa mikoa ta dar es salaam, morogoro na pwani.
Ukiwa nje ya mikoa hiyo utalipia nusu ya gharama za usafiri.

Mawasiliano.
0766006128
0655715184
WatsApp pekee 0683433440

NB: malipo yote yatalipwa baada ya kupokea mzigo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom