michapio iliyonivunja mbavu nawe weka yako tucheke

Em niwekee tigo pesa kwenye Mia tano yangu....😁😁, Badala ya em niwekee Mia tano kwenye tigo pesa
 
Ss mahala fulan ilikuwa ukchapia tunakuweka kwny ukuta

*Mwl aliwah sema hv assembly
Tembo na mnene nan nguruwe

*Mwngne mwanafunzi alisema
Mataifa mengne nchi n chache
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom