Michapio hatari

Michapio hatari

Kizungu ni shiiiider, kilikuja kwa meli na kitakirudishwa kwa meli kupitia Mbagala. Jamaa alinigongea ngeli na sentensi hii akimaanisha, maisha sio rahisi hata kidogo. Life is not president even small.
 
It is not a play - si mchezo
 
mwalim wangu wa chemistry alisema..kuna rays za alpha na omega, badala ya alpha na beta
 
------ ya Jani....badala ya ------ ya nyani..
Jamaa angu aliingia class akakuta hamna kiti chake akakupigia ("here is not chair")
mdingi alinipigia "bet lii" badala ya (Jet lii"...
 
Mwalumu wangu m1 alituagiza kuja na beseni kila mmoja kwa kusema kesho kira mmoja arete benzeni!!!
 
Nimekuachia ujumbu mozani...badala ya nimekuachia ujumbe mezani
 
Back
Top Bottom