Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,554
- 11,485
Nakumbuka tukiwa form 1 tukawa tunahama darasa...sasa mbele yetu yuko jamaa mmoja anaitwa Samweli...nyuma yuko sister mmoja . Sam akawa kachukua kitu cha mdada then akakimbia mbele...huyo dada akaamua kumuita na kumwambia Sam kwa nguvu...distance ya km mita 20...Nanukuu...
" Samweli tutat...mbanaaa" badala ya tutagombana.
Yaan lipaza sauti mbaya....sijawahi kuisahau hii siku.
" Samweli tutat...mbanaaa" badala ya tutagombana.
Yaan lipaza sauti mbaya....sijawahi kuisahau hii siku.