Michano, Punch lines special thread

kuna kioo cha fasihi/
kioo cha jamii/
dogo janja ndio kioo cha madee/
SONGA
 
kidume unaiga choreshwa kwa ujinga/
unavaa skin jeans je unataka kuonesha figa??
 
bongo moja na mbona DINI kibao??/
nauliza tu mi sio mwinyi wala farao??
 
Aiseee naona mnachana tu naombeni kipande MO11

au labda hunipendi ndio sababu unanitema/
hupendi ninavyoatend alfajiri na mapema/
unaniacha stend njia panda nipo dilema/
kutwa sispend weekend kwako haijakaa vema/
au kisa silipuki daily mitumba midosho/
ukiniona huzuzuki sanasana unaona michosho/
bring bring sinyuki sina mvuto sitoki smart/
mrefu sio mfupi bora ningekuwa size ya kati/
au sikuvutii ndio maaana hunipi uthamani/
kioja ndani ya jamii na kwanza hatuendani/
pia hujisikii kuwa na kapuku kama mimi/
ambaye mswaki situmii sina hadhi ya kunyonya ndimi/
au mpaka mavumba ndio mapenzi yashamiri/
hata swala la unyumba mpaka kwa muda ufikiri/
au umepata mchumba mjanja tena tajiri/
sio mimi katumba mla ganja nisie na dili/
au sijui mahaba kitandani sikuridhishi/
sikuombi nakaba tendo la ndoa kwa ubishi/
siwezi kubembeleza kiupole au si mbishi/
au sijui kukuchombeza kileleni sikufikishi/

miss chagga nimeamua kukuimbia
 
Last edited by a moderator:
begi mgongoni sokota dredi fegi mdomoni/
huwezi kuutupa utumwa kwa kuuenzi ukoloni/
songa
 
wazazi wanasema nimeshakua/
ina maana vibaya na vyema nimeshajua/

wanasema mi ni mkali ila why sisikiki???/
Bei ya sukari inanifanya ninywe chai na pipi/
SONGA
 

Oooh mama miss chaga usimuache MO11 atakondaaa
 
Last edited by a moderator:
tuki tuki tuki tuki tukitoa utani/
songa ni mwanaume wa shoka na nadhani/
ndio maana shoo za bure anatoa chumbani/

Mkuu hizi punch zinapatkana katika ngoma gani?
 
achapwe sana fisadi, MRAMBA, asali harambi mara moja. BONTA. Mistari yangu inathamani ya bikira, maria stopaz ndo wanatoa mabinti wanalia kimbiaa. Dah huyu mwamba cjaonaga kabsa hapa tz ni nouma sana bonta.
 
tunatembea juu ya mbigili na kokoto, wanatembea juu ya dhuria jekundu, ni damu yetu watanzania wa kigoma, ni damu yetu watanzania wa mtwara BONTA. NINA CHOZ LA GESI KAMWE CHINI KUDONDOKA. vichwa vyenu mayai nawavisha kofia za chuma.
 
kibo sio mawenzi/mapenzi ni utelezi. Washaanguka mpaka wakwezi/hawapandi tena minazi. Nawashangaza kama chura wa kihanc unapagawa nakuacha mdomo wazi.
 
Karibuni wakuu hasa wadau wa hip hop katika kupeana punch lines zilizowahi kujenga siku yako kwa wasanii wa bongo/mbele.

Niko tayari kukipaka/ Hata mbele ya Bwana Mkapa....Kalapina (2004)
 
kafa manzese mazishi sinza/
nazama chumvini umvinza/
na utamu umezidi mpaka umepitiliza/

nikki mbishi
 
nikamtafuta kila kona haonekani/
nikaingia kibanda cha simu nikapiga simu hewani/
samahani mteja unayempigia hapatikani/
jaribu baadae na kama ukishindwa hata mwakani/


usiku mwite songa
 
vichaka vya ubungo mashaka na mafumbo/
mara nikasikia msaada vibaka wananipiga mtungo/

songa unlimited
 
"Mabishoo hali duni mana mnapenda vya dezo/mi nishafanya kila uhuni hadi kuvaa kondom mlegezo""WANASEMAJE?

Wa Kigoma msiogope Vumbi, Mbona limetoa wasafi?!
 
Mapenzi ya siku hizi bila kugombana hayana stimu,ruksa kushikana lakini sio kushikiana simu-Fid q(bongo hip hop)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…