Michano, Punch lines special thread

kuna washkaji wa A city wanaitwa KiNGS kuna chalii anaitwa Raff MC jamaa ni mbaya sana kwa punch line
 
Nawagema mashabiki kama ulanzi kwenye UBETE / kisha natafakari kabla ya kusukuma KETE (black rhyno)
 
Usiombe uwekwe biti moja na MIMI/ utashangaa hadi leo uganda hamna dada gaidi kama iddi AMINI. (songa)
 
Muhaya mtulivu hutuzwa ndizi na SENENE / haya maumivu ni zaidi ya ngumi ya taya giza NENE. (msodoki)
 
Jivike vyeo watu wenye vyeo wakuone ----- / nachokupa leo sio kimeo ka rasta za CHEGE / demu wa kusini mlaze machweo mchanue MATEGE / ni youngkila mjenzi wa leo nisie laza ZEGE. (msodoki)
 
Inanipa wazim kimwana kuachana na HASHEEM / na bado mnawasiliana je unampango wa kuchanganya TIM. (fid Q)
 
hahaaa

"Will Smith dont gotta curse in his
raps to sell his records
Well, I do
So f*ck him and f*ck you, too.”
Eminem

hata sijui wimbo gani...
 
sinung'uniki sina viatu wenzangu hawana miguu,
hawalalamiki wanamshukuru aliye juu,

muite FA
 
Aliyenipa pumzi za bure ndo alinipa hiki kiburi ,ukizani naogopa nongwa bado hujanijua vizuri
Majibu ya kijinga kwa maswali ya kipumbavu,mi Nina mambo mengi mwana siwezi jibu kila kitu
Muombe mungu anikwamishe,nabisha hata Mimi aliniumba yeye,juhudi ndo zinatufautisha_,MwanaFa
 
Ndoto za kuwa Bilio Ngwear/
Kwenda Club na wana, then hiyo bili ya Ngwear/


RIP Ngwear
 
Mi ni MC, nishapitia mengi kwenye gemu hii/
Ili usije lalama "plz help me"/
Nataka niwe nawe milele Ray C/

Songa.
 
Siku hizi pesa haiongei pesa ina APA / utu umeshuka bei thamani ya pesa IMEPANDA. (fid q)
 
Kumbatia uzalendo ukose hela ya kula/
mwenye chuki muoneshe upendo kesho ajifiche sura/
Dili bado magendo na mwendo bado wa chura/
ndio maana ya msuli tembo matokeo sungura/
 
Kama force ni zaid ya G.F
Ni project ila sio D.F
Nimesmama vertically kama alphabetically
A,B,C,D to the E,F

Nariprezent JF
Sio FB mi nakick JF
Science Tech,MMU
Chunga sana mwana kuna V.V.U
 
This town aint big enough for all of us but aint goin nowhere! Big pun capitol punishment
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…