Nsiande
JF-Expert Member
- Jul 27, 2009
- 1,649
- 878
Ni wapi huko ??inawezeka kwenu ni nkwanambo?kama ni ndiyo ni kweli
Ni wapi huko ??inawezeka kwenu ni nkwanambo?kama ni ndiyo ni kweli
Usidanganyike na majina na Avatar wengine ni madume sio:whoo::whoo::whoo:
Hasa wewe MR nadhani dume tofauti na avatar yako(mienendo yako na mtiririko wa sentensi ni rahisi kujua jinsia), mimi naona ni rahisi kujua, kwanza humu ndani watu wapo tayari kuficha majina yao halisi lakini kuhusu jinsia wapo wazi, lakini hata unapojunga hili jukwaa tunaulizwa jinsia mbona!?
.......umenifurahisha sana, ila hata mimi sijui kwa nini napenda jukwaa la mahusiano kuliko jukwaa la siasa.Ujue siasa longo longo nyingi, halafu kuna bore sana maana hata ukiongea sana kuhusu siasa hakuna mabadiliko yoyote hali ya umasikini wa nchi unabaki pale pale.
Hahahahahahahah ingekuwepo software kama hiyo ingepata soko kubwa duniani. Si unajua tena siku hizi kutafuta GF/BF/Mchumba online ni kitu cha kawaida. Sasa kama mdada/njemba inasema uongo kuhusu jinsia yake basi unaituma tu software ikufanyie kazi na kukupa jibu.
tunachangia bwana. Sa zingine huwa tunasoma halafu hatucomment ila jukwaa la siasa tunaliptia sana.
Tatizo habari za huku zinaumiza sana.
Kabla hujamaliza kuisoma michozi hiyo unashindwa hata kuchangia.
It is very sad kuona great thinkers are not thinking properly.
Kwanini mmesahau suala la uhuru? ........
ANGALIZO FIRST EXPRESSION IS NOT THE FINAL ANSWER
Mkuu naona bado uko usingizini. Huyu mnyama mnayemwita uhuru anawapeleka kubaya. Hivi hujiulizi kwanini "uhuru" huo wanawake wanautumia kukimbia siasa? Ni uhuru huo huo ndo uwafanye waache makalio yao nje wakicheza FM academia?
Using'ang'anie "busara" ya "kila mtu ana uhuru" angalia matumizi ya uhuru huo. Haya sasa unamlaumu mwanamke Pauline aliyesema wao wanawake ni viumbe dhaifu, si ndiyo uhuru huo wa maoni unaoutaka? Angalia post yangu juu hapo.
Jamani, kwanini mnashindwa kutambua vitu rahisi namna hii?

Na ukiwauliza baadhi ya mambo hata madogo madogo asilimia kubwa watakujibu SIJUI!