Michango ya wadada wa JF iko biased!!

sisi ni viumbe weak,hatuwezi kuhimili mikiki mikiki-hizi pressure na stress za siasa hatuziwezi kwanza zinaweza kutufanya tuwe na mikunjo usoni halafu tusivutie bureeeeeeeeeeee.......(hahaha nangoja wale wabeijing aka women rights activists waje kunipopoa mawe hapa.......ngoja nijifiche kny haya masofa...:behindsofa::behindsofa::behindsofa:

Sasa kwanini mnalilia ubunge wa kupewa (Viti maalum) wakati mkijua mnakwenda kuongeza namba tu bungeni na gharama kibao? Ufisadi nao huu.
 
sisi ni viumbe weak,hatuwezi kuhimili mikiki mikiki-hizi pressure na stress za siasa hatuziwezi kwanza zinaweza kutufanya tuwe na mikunjo usoni halafu tusivutie bureeeeeeeeeeee.......(hahaha nangoja wale wabeijing aka women rights activists waje kunipopoa mawe hapa.......ngoja nijifiche kny haya masofa...:behindsofa::behindsofa::behindsofa:

Umeniacha hoi kwa mshangao! Unawasemea wanawake wa JF nani kakutuma? Jisemee nafsi yako tu maana humu kuna wanawake vichwa sana na wanajulikana.
Hao wabeijing ndio kina nani? Ina maana wao tu ndio waliojaaliwa kujua zaidi mambo ya mapenzi?
 
Mbona mkiwa Bar hamuwi weak?
Mnagida mpk Buzi lenyewe ndio linazima na mnalitoroka?
 
Umeniacha hoi kwa mshangao! Unawasemea wanawake wa JF nani kakutuma? Jisemee nafsi yako tu maana humu kuna wanawake vichwa sana na wanajulikana.
Hao wabeijing ndio kina nani? Ina maana wao tu ndio waliojaaliwa kujua zaidi mambo ya mapenzi?

sidhani kama huyo mtoa thread anamaaanisha wadada wote wa JF hawachangii kny siasa,nini kilichokufanya uamini nilivyosema sisi nimemaanisha wadada wote wa JF?...sisi inamaanisha ni kundi letu wachache tusiochangia siasa nk......hata hivyo nikisoma hapa https://www.jamiiforums.com/search.php?searchid=3040429 na hapa
https://www.jamiiforums.com/search.php?searchid=3040429 nadhani hii topic inakugusa pia au la utake kusema nini kinachokuzuia usichangie siasa pia kama unavyochangia kwengine!:teeth:
 
Jamani kama tunawaonea vile nawafahamu wengi walioko kwenye jukwaa la siasa ila sio na wengine wako hapa na wengine bado hawajakusikia kama Pelosi, Joyce Paul nk.

Kwa upande wangu nimewahi kuongea na baadhi yao na wengi wanasema wanapenda siasa na wanasoma sana hizo thread lakini ila hawapendi kuchangia maana kwenye siasa mambo mengi yanataka ushahidi au utafiti lakini mbali na hapo wanawake wana mipaka yao kwenye baadhi ya mambo hiyo ni natural ambayo Mungu mwenyewe alishaweka na wakitaka kujitutumua sana wataishia kuwa wabeijing ambao kama ukiwafuatilia sana wabeijing wengi wao wameachika au wako njiani kuachika
 
U r quite right, i contribute but haven't started any thread in siasa forum, but I do contribute daily
Eng Nsiande
 
Mbona tunachangia jamani,sometimes kwenye hayo majukwaa ya kisiasa unakuta watu wengi wamechangia na pengine yale uliyotaka kuyasema yameshasemwa,sasa nijaze thread tu jamani?????/hapana,ila mimi napenda sana kusoma kwenye siasa na uchaguzi mkuu,hizi nyingine natafutaga tu pa kucheka baada ya kazi but nimejoin jamii forums kwa mapenzi yangu ya siasa na kubadilishana mawazo na great thinkers wenzangu.
 
WanaJF, nimegundua kuwa wadada waJF hawako interested kuchangia political au posts nyinginezo mbali ya zile zihusuzo mahusiano na urafiki!! Kwa nini?? Tujadili

Katika hali hii ya watu kutumia majina bandia, sijui unamtambuaje kuwa huyu ni mwanamke au mwanaume. Avatar au?
 
Wamechoshwa na siasa za maigizo na danganya toto mi nasikitika kwa nn hawachangii jukwaa la kikubwa kule
 
Tuwie radhi mpenzi,umebaki mwenyewe dhaifu pengine na wanaokuzunguka,huwezi ukatuita dhaifu watu usiotujua, ungetujua ungebadili usemi.Baadhi yetu ni zaidi ya wanaume.Pili,wanaume hawavutiwi na uso tu my dear,wengi wasingekuwa nao,BRAIN,WISDOM,MATURITY,INNER BEAUTY,HONESTY,GOD FEARING,EDUCATION na mengine mengi.Na wengi wetu ni wapambanaji na uzuri tunao na mikunjo wala haitukaribii kwakuwa tunafurahia yale tunayoyafanya japo mengine ni magumu.
sisi ni viumbe weak,hatuwezi kuhimili mikiki mikiki-hizi pressure na stress za siasa hatuziwezi kwanza zinaweza kutufanya tuwe na mikunjo usoni halafu tusivutie bureeeeeeeeeeee.......(hahaha nangoja wale wabeijing aka women rights activists waje kunipopoa mawe hapa.......ngoja nijifiche kny haya masofa...:behindsofa::behindsofa::behindsofa:
 
hapana dear, hapo nakukatalia kabisa tena kwa nguvu. mimi si kiube dhaifu kama wapo basi ni wengine. udahaifu wenyewe uko wapi? he, nipo fiti mwenzangu usinijumlishe huko. na wangejua sisi ndio tunaotawala dunia! siku nyingine itawafafanulia kauli yangu hii

Unfortunately, wewe ni mmoja wa wachache. Pauline anawazungumzia majority. Wengi hawataki kuchafua kucha zao na matope ya siasa.

Amandla.....
 
sisi ni viumbe weak,hatuwezi kuhimili mikiki mikiki-hizi pressure na stress za siasa hatuziwezi kwanza zinaweza kutufanya tuwe na mikunjo usoni halafu tusivutie bureeeeeeeeeeee.......(hahaha nangoja wale wabeijing aka women rights activists waje kunipopoa mawe hapa.......ngoja nijifiche kny haya masofa...:behindsofa::behindsofa::behindsofa:
Thank you mdada, yaani nimecheka mpaka machozi, Zako nyuma ya masofa ukichungulia. kama vile haupo, kumbe umejificha.
 
Mkuu tangu ulipoweka bandiko hili jana, naona idadi ya wanawake wanaochangia kwenye mijadala ya kisiasa imeongezeka. Nitafurahi sana kama hii trend niliyoiona katika kipindi hiki kifupi itaendelea.
 
Tupo sana mawenzi na majukwaa yote tunazunguka ,ila jukwaa la siasa ni gumu Ndugu,wanaliweza wenyewe wengine tunachungulia na kutoka pale panapotugusa tunatoa thanx kwenye kandanda tupo tunachangia ,
 
The Following User Says Thank You to FirstLady1 For This Useful Post:

Rev Masanilo (Today)
 
sisi ni viumbe weak,hatuwezi kuhimili mikiki mikiki-hizi pressure na stress za siasa hatuziwezi kwanza zinaweza kutufanya tuwe na mikunjo usoni halafu tusivutie bureeeeeeeeeeee.......(hahaha nangoja wale wabeijing aka women rights activists waje kunipopoa mawe hapa.......ngoja nijifiche kny haya masofa...:behindsofa::behindsofa::behindsofa:
ooh lord, where is WOS when you need her most

MJ1, can you deputise for WoS
 
Una uhakika kabisa kuwa ni wanawake?

Naam maana wana majina ya kike na avatar zao ni picha za wanawake, pamoja na kuwa tunatumia majina ya bandia sidhani kama mwanaume anaweza kutumia jina la kike hapa jukwaani na kuweka avatar ya picha ya mwanamke, labda kama kuna kasoro fulani.

Back
Top Bottom