Sio mwenge umulike katiba mpya?Katiba mpya iumulike Huu mwenge
Ulishamulika Mlima Kilimanjaro inatosha Bwashee!Sio mwenge umulike katiba mpya?
Kwahiyo sasa ni zamu ya mwenge kumulikwaUlishamulika Mlima Kilimanjaro inatosha Bwashee!
Kabisa BwasheeKwahiyo sasa ni zamu ya mwenge kumulikwa
Juzi Patrobas Katambi aliomba muongozo wa spika baada ya COVID Nusrat kuuponda mwenge. Patrobas alisema mwenge ni tunu ya taifaKabisa Bwashee
Ukiisoma ripoti ya CAG utajiuliza Huu mwenge unamulika kweli?!!
😄😄 Mchungaji Mtikila aliubatiza Jina lingine kabisa!Juzi Patrobas Katambi aliomba muongozo wa spika baada ya COVID Nusrat kuuponda mwenge. Patrobas alisema mwenge ni tunu ya taifa