Michango imerudi tena mashuleni

Michango imerudi tena mashuleni

Ache ujinga st marry nishule binafsi hiinishule serikari
 
~~~>>>Huu uandishi wako tu inaonyesha kichwani ulivyo mweupe .

Hapo uamuzi upo Juu yenu, eitha mchange watoto wenu wafundishwe na kufanya mitihani au muache watoto wenu wande shule kucheza..

~~>>>Hakuna mtoto wa Magufuli ama wa Simbachawene anayesoma hizo shule zenu......
Good, ujifungie kwenye shuka wewe na mkeo alafu Simbachawene akulipie ada?
 
Acheni uvivu ndiyo maana mikoa yenu ipo nyuma kielimu, toeni michango hela yenyewe ni kidogo sn.
 
Katika haliisiyo ya kawaidi shuleya msingi mchombe wilaya yakilombero imewataka wazazi kuchangia tsh2000kilamwezi zakuajili walim natsh 1000kilamwezi kwaajili ya mitiani tunamuomba waziri simbachawene aingiliekatiswalahili
yaani wewe ni VU......ZY kweli,inaonekana kichwani ni hewa babayako naye alikuwa kama wewe ndo maana ulikosa elmu ona usivyojua kundika.
 
Kwani ilienda wapi?kama huko haikuwepo baso hongereni sana mkuu
 
Ache ujinga st marry nishule binafsi hiinishule serikari
We hewa kweli jifunze kuandika ulikimbia shule enzi hizo unataka urithishe watoto wa wenzio ujinga,tanznia ni kubwa sana hamisha mtoto wako hapo.
 
Wewe ni mjinga wa kupindukia, unajua hapo kwa mwaka ni kama elfu 30 tu ukiondoa miezi 2 ya likizo.
Hivi unajua St. Marry wanalipa ml.ngapi kwa mwaka?
Yaani mtaani kwenu mkiwa na mijitu mi5 ya aina hii ya mleta mada mtakuwa wajinga kupindukia
 
Hiyo elfmbili nikila mwanafunzi yakuajili mwalimu wakujitolea na shilingi 1000 Nikilamwanafunzi yakuchapisha mitiani na huh ni mwanzotu kwani wazazi tunauzoefu nashule hii mwaka 2010 michango ilifika mbaka elfusabinikwakichwa
Jifunze kuandika wewe,huna elimu na bado unataka kuendeleza ujinga huuu kwa kizazi kijacho,huko uliko hakuna ofisi ya afisa elimu,mkurugenziau katibu tawala ukamwambie??.
 
Hivi huu nao ni upumbavu kiasi gani? Kama elimu ni ghali jaribu ujinga,hivi baadhi ya watanzania mbona mnapenda ujinga hivi? Mimi mtoto wangu ana miaka mi 3 na nasomesha vizuri tu nalipa ada safi maana najua ni jukumu langu na si la waziri maana huyo waziri mwenyewe kawachagulia watoto wake kilicho bora na si kilicho cha uongo kama mng'ang'aniacho,sasa hadi ela ya mitihani mtu analalamika
 
Na utakuta shule haina walimu wa kutosha,basi mmeambiwa mchangie wapatikane waalimu napo inakua nongwa,wakifeli lawama zote kwa waalimu,jamani tuchangie elimu kwa manufaa ya watoto wetu.
 
Back
Top Bottom