Michango imerudi tena mashuleni

Michango imerudi tena mashuleni

Tofautisha elimu bure na elimu Bila malipo! Kuna changamoto nyingine mkisubiri serikali watoto wataumia. Mfano Shule za sec shule haina mwalimu wa Hesabu na wanafunzi hasa wa vidato vya mitihani watafanyaje mitihani hiyo Bila wazazi kujiongeza?
 
Katika hali isiyo ya kawaida Shule ya Msingi Mchombe wilaya ya Kilombero imewataka wazazi kuchangia tsh2000 kila mwezi za kuajili walimu na tsh 1000 kila mwezi kwa ajili ya mitihani.

Tunamuomba waziri Simbachawene aingilie kati suala hili.
Kakupenda vya bure hakika hadi wanaume mtaolewa wakati huu, umeenda kupata melezo ya hiyo michango huko shuleni kaeleweshwa?? Watanzania wengine wajinga sana , kujua kupost vitu mitandaoni sio tiketi ya kupost chochote hadi vya kijinga jinga ,

Kuna afisa elimu hapo, kuna mkurugenzi hapo je umewaona hao pia kabla ya kuuleta umbea wako huku??
 
HAKUNA SHULE YA MSINGI AMBAYO HAINA MWALIMU
We nawe sijui unatokea vichochoro gani na ndio nyie mnao idanganya serikali na viakili vyenu kidogo hivyo shule ina wanafunzi 800 walimu 4 unataka wafanyaje?? Achen ujinga na ushabiki wa kipuuzi bila tafiti,
 
huku siomitihani tu michango ipo hivi-:
1.MCHANGO WA MLINZI 1000/-KILA MWEZ
2.MCHANGO WA MAJI 500/- "
3.CHANGO WA.UMEME 500/- "
4.MITIHANI KILA WIKI 1000/-
Waambie wasimpe mwanao mtihani kama ni gharama sana.
 
Kama kijembe sawa maana povu lilishajaa mdomoni.
Dah.
 
Umemwelewesha vizuri sana lakini na upande wa pili yaani serikali umeishauri kuacha kudanganya wananchi inatoa elimu bure kumbe ni usanii??
Ndugu haya ndo mambo ya siasa, nadhani jamii iwe makini nayo na iongeze umakini ktk maneno yatolewayo na wanasiasa, yatawakosti.
 
Tatizo si hiyo 1000!Shida kubwa ya watanzania ni roho mbaya kwani wanaona walimu watafaidika sana na hiyo!Hii imekuwa ni tabia ya wengi wetu na ndio maana huwa tunafurahi kuona watu wengine wakipata matatizo
Kama 20000 /=kwa mwaka, ilikuwa inaleta shida,. Hii itakuwaje?
 
Katika hali isiyo ya kawaida Shule ya Msingi Mchombe wilaya ya Kilombero imewataka wazazi kuchangia tsh2000 kila mwezi za kuajili walimu na tsh 1000 kila mwezi kwa ajili ya mitihani.

Tunamuomba waziri Simbachawene aingilie kati suala hili.
Ukijua maana haya maneno utaelewa
Kuna kwenda shule na Kendal shuleni
 
We nawe sijui unatokea vichochoro gani na ndio nyie mnao idanganya serikali na viakili vyenu kidogo hivyo shule ina wanafunzi 800 walimu 4 unataka wafanyaje?? Achen ujinga na ushabiki wa kipuuzi bila tafiti,
YAKO HAYO!
 
Back
Top Bottom