NATA
JF-Expert Member
- May 10, 2007
- 4,492
- 1,311
Jamani hili jina nimelipenda sana, hasa nikilihusiha na watu maarufu kama michael jackson, michael jordan, michael boton, michael douglas, michael owen na wengine wengi natamani mwanangu aitwe hilo jina . Rafiki yangu mmoja aananiambia watu wenye majina haya wengi wao hawajatulia. Je kuna ukweli katika hili ?
Nalipenda sana hili jina naomba mawazo yenu?
Nalipenda sana hili jina naomba mawazo yenu?