Michael

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
Jamani hili jina nimelipenda sana, hasa nikilihusiha na watu maarufu kama michael jackson, michael jordan, michael boton, michael douglas, michael owen na wengine wengi natamani mwanangu aitwe hilo jina . Rafiki yangu mmoja aananiambia watu wenye majina haya wengi wao hawajatulia. Je kuna ukweli katika hili ?

Nalipenda sana hili jina naomba mawazo yenu?
 
kwa mfano huu mh!

Niuongo uliokomaa, kwani kama hawajatulia kwani hamjui jina hili mwanzo wake wapi? siyo kimanzichana wala nyarugusu, wala soga, lkn ni Mbinguni, wajua Malaika Mkuu anaitwa nani? je hajatulia? acheni matusi, kutulia au la ni hulka ya mtu mwenyewe na mambo yake, wenye majina haya pamoja nakuendeleza uchaguzi wa Mungu kumpa malaika mkuu jina hili, ni wenye mafanikioa mengi sana, ukilinganisha na majina mengi hapa duniani,
Nakushauri mpe mwanao jina hili utaona mafanikio atakayokuwa nayo.
Mwana JF
 
kama majina yangekuwa ndo mafanikio mi bill gates asingeona ndani! mchagulie mwanao jina zuri la kikwenu mfano kikwete.....:peace:
 
kama majina yangekuwa ndo mafanikio mi bill gates asingeona ndani! Mchagulie mwanao jina zuri la kikwenu mfano kikwete.....:peace:
nalipenda hili jina jman, si na mike tyson ni michael au?
 
Back
Top Bottom