Michael Jackson's New Hit Song

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,834
155,783
Hollywood Tonight, nimeufurahia sana ni moto wa kuotea mbali. Mwenye uwezo atuingizie link ya youtube ili tuburudike pamoja
 
Napenda walivyofanya na the song… it is so Michael ingawa he is not there.. about the song… sijui…. ndio ni mzuri lakini sio ileeeee kama baadhi ya nyimbo zake zilivyo kali…
 
sitashangaa kama tutaendelea kupata nyimbo za michael ambazo hazikuwahi kutoka na hatukujua kama zipo even miaka kumi from now...., just kama ilivyokuwa Tu-Pac na Bob Marley

People Cashing in........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom