Michael Jackson

Michael Jackson

Kwa kweli alikua mzuri haswa! Ila MJ ilikua zaidi ya kutotosheka psychological issues zilicheza sana
au ishu za kibaguzi zilichangia nazo maana kukaa na watu weupe nao ilikuuwa kazi sana na hasa kwa zama zao.
 
Yap hiyo nayo ilikua moja, na pia kuhusu kushape pua, chanzo ni Baba yake ambaye alikua abusive alikua anamtukana na kumuitia kwa pua so alipopata hela akaona aichannge
 
alikuwa handsome wa kikweli kweli lakini ndio hivyo binaadamu hatosheki hata ukimpa nini,asante kwa picha old goat

Unajua, wanadamu hatujiamini kama sisi tuliumbwa vuzuri na Mungu aliridhika na kuona ameumba kitu chema. Ujinga wetu unatufanya tuanze kujirekebisha na matokeo yake tunaishia kuonekana kituko. Utakuta mtu anabadili ngozi yake na kuwa kama kenge. Mbuzi Mzee asante kwa picha kuna watu (hasa wale wasiojiamini kama wameumbwa vizuri na wana rangi nzuri) watajifunza kitu kutokana na picha hizo.
 
hebu jiulize,msichana fulani toka alipoanza dalili za kuvunja ungo alikuwa mzuri sana yaani sana mpaka watu wazima walitamani kuvunja utu wao kwake.kipindi alipovunja ungo kabisa ndio watu walipagawa kabisa,mpaka kufukisha miaka ishirini watu walimsifia hadi wakakufuru.hakuna ambacho mwanamke mzuri alikuwa nacho yeye alikosa.tukikaa wanaume ishirini basi kumi na saba tulimpa maksi zaidi ya tisini na sita na hao wachache hawakushuka chini ya tisini.shughuli ilikuja zilipogundulika sindano za weupe nikikuonesha alivyo leo unaweza kudhani ni mamba amebahatisha kuwa binaadamu.maana kwa sasa hana ngozi ila ana gozi.na kwa sasa hata wanaume nao wanajichubua,wanaume wanatamani kuwa wanawake.yaani full kizungumkuti.happy new year
 
Happy New Year Taamu!
 
Picha tatu hizo katoa sign wabongo watakwambia alikua freemasson,wabongo wamekonda sana akili
 
michael-jackson-398.jpg
​
​
​
​

​

Angekuwa ni Mtanzania, kwa picha hii tu mngeanza kuchonga. I reserve my other comments.
 
Back
Top Bottom