Michael Jackson

Title imenikera kama shabiki nambari moja wa Michael jackson.

Michael alikuwa na skin condition inaitwa vitiligo, hakupenda kuwa vile kuishi kwa kupaka make up na kuchubua ngozi yake ifanane mwili mzima
 
Kama michael jackson asingekuwa anafanya make-up na kufanya ngozi yake ifanane basi angekuwa kama huyu dada..

Huu ni ugonjwa mmbaya sana sidhani kama kuna superstar yeyote duniani angeweza kuvumilia ili hali kazi yake ni kutumbuiza mbele ya mamilioni ya watu.

Kwa bahati mbaya wengi hawajui kuwa Michael alikuwa na vitiligo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…