Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Haiwezi kuwa ni kushangilia huku, kushangilia kunahusisha mwili mzima, lakini huyu kapanua mdomo peke yake, labda anashngalia ubwabwa.Siyo Miayo anashangilia ushindi wa JPM hiyo ilikuwa 2015 baada ya matokeo kutangazwa.