Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 16,382
- 13,194
Anaimba Country ila Nyimbo zake hazijawakuna Wabongo..George Strait anaimba nini........?.......
Wanapenda Hizi hapa chini
Anaimba Country ila Nyimbo zake hazijawakuna Wabongo..George Strait anaimba nini........?.......
Nipitiwa tu kumtaja nakumbuka sana nyimbo zake ikiwemo well come to my world , this world is not my home , I dios amigo..Mtoa Mada kutokumuweka Jimmy Reeves ni kama kutokujua Mambo... tunaita Ukurupukaji ila kwa kuwa ni Mtanzania namsamehe...
Jim Reeves kiboko yao View attachment 409825
Don willian ni huyo wa pili,mtoa post yupo correct.Wa kwanza ni Don Williams