Miaka ya nyuma mganga aliniambia kuwa...

Malaika wangu hawapendi ninywe Tungi, hili jambo limenishangaza kwa muda mrefu sana, sikuwa ni mtu wa dini sana ila nikinywa pombe nilikuwa nakumbana ni mikosi Sana

Baadaye nikienda kwa mama mmoja mganga akaniambia wewe una kama malaika fulani kichwani kwako hawapendi unywe pombe

Sasa najiuliza ni aina gani ya malaika walikuwa kichwani kwangu?
Mashetani hayo sio malaika
 
Back
Top Bottom