Miaka ya kustaafu iongezwe

Hali ya kitaa inajulikana ilivyo Moto, inabidi mtoke mapema na wengineo wapate ajiira. Kuongeza muda ni ubinafsi!
 
Mara nyingi anayeng'ang'ania kuongeza muda wa kustaafu ni yule mtumishi anayeona ajira ni kama sehemu ya kujipatia pesa za bure kila mwezi. Hapa namaanisha mara nyingi watu wa aina hii hawana juhudi kazini hivyo kutokuwa na mchango wowote au mchango kidogo kwa taasisi. Lakini kwa mchapa kazi, hufurahia ajira mwanzoni tu baada ya muda ataona kama mwajiri anamwibia hivyo kuwa na shauku ya kutumia muda uliosalia kujizalishia.
 
Huu ni mtazamo wako
 
mkuu unaitaje mshahara ni ela ya bure wakati ni ela uliyoifanyia kazi? si zelewi hizi?
 
Ufie kazn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…