- Thread starter
- #141
Hilo siyo deni la Serikali ya US kwa Serikali ya China. Hizo ni US government treasury bills zilizonunuliwa na makampuni ya China. Hata wewe ukiwa na pesa, unaweza kununua treasury bills za Uas, baada ya hapo utakuwa unaidai serikali ya US.Are you serious?
====
SOMA hapa
How Much U.S. Debt Does China Own?
As of 2023, China owns more than $859.4 billion in U.S. debt. That's less than the U.S. debt owned by Japan and represents about 2.6% of the total U.S. debt. Learn more.www.investopedia.com
Hii biashara ya kununua government treasury bills, hata hapa kwetu, nadhani ulianzishwa wakati wa Jakaya, ingawa waliokuwa wakifaidika na hiyo biashara ni wahindi. Lakini ni risk free business. Na ina faida kuliko kuweka pesa bank. Kwa hiyo Wachina wanashindana hasa, kununua US treasury bills ili kujitengenezea faida ya uhakika.