Miaka Minne Ndani ya JF: King Kong III

Miaka Minne Ndani ya JF: King Kong III

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
64,380
Reaction score
99,190
Umofia Kwenu wana JF,
Ebwana leo natimiza nyundo nne tangu nijiunga na JF na miaka 6 tangu kuifahamu JF,Shukrani kwa wanajf wenzangu kwa ushirikiano wenu,tupo pamoja tuendeleze libeneke.

With Thanks,
KK3,Umenyeni-Minjingu.
 
Umofia Kwenu wana JF,
Ebwana leo natimiza nyundo nne tangu nijiunga na JF na miaka 6 tangu kuifahamu JF,Shukrani kwa wanajf wenzangu kwa ushirikiano wenu,tupo pamoja tuendeleze libeneke.

With Thanks,
KK3,Umenyeni-Minjingu.
kk3 wa umenyeni
naomba nikuulize maswali yafuatayo kuhusu miaka yako minne ndani ya JF
  1. kwa nini ulijiunga jamiiforum?
  2. jukwaa gani unapenda kuingia sana?
  3. ni member gani anayekuvutia humu?
  4. umeshawahi kupata bana mara ngapi?
  5. kwa nini uliamua kujiita king kong?
  6. nimeweza kusoma thread zako zaidi ya miaka miwili nimegundua wewe ni guru wa teknohama,unaishauri jf kufanya maboresho gani ???
  7. nini matarajio yako kwenye JF baada ya miaka 10?
  8. ukipewa nafasi ya kuwa moderator JF ni member gani 5 wasumbufu ngepeta watolewe JF?
  9. Je unamililiki vitambulisho vingapi JF?? Ukiicha hiki cha sasa king kong 3??
  10. ukipata nafasi na kumuona Invisible utamwambia nini??

umifia kwako jibu haya maswali,then nitakuwish happy annv 4 years in JF
 
Last edited by a moderator:
Aiseee hongera kumbe humu watu wakongwee sana daaaaa
 
Back
Top Bottom