Miaka Minne bila Magufuli

Juzi nilimkumbuka ila wakubwa ishu ya watoto kukaa chini mashuleni hakuna mwenye maana huko CCM ni kama matapeli mitandaoni jiwe alitaka kubeba mzigo mzito mwenyewe angekubali katiba mpya ili mfumo umsaidie.
 
Zee la Minyato
Mtinga Pajama .
Mao Ze Dong.
Bichwa Nundu.

Vyeti feki utawaona tu.😂
 
Kwa mazuri aliyotufanyia watanzania wapenda maendeleo na siyo mafisadi na majizi kama wewe tunaona ni sahihi kabisa ndugu zake kupewa vitengo maana sifa wanazo
 
Mkuu ukiona myanzania anamponda Magu tambua hao ndo wale ukoo wa panya .Baba Fisadi,Mama Fisadi na watoto mafisadi
 
Baada ya miaka 15 ijayo natabiri Chuma kingine kuliko JPM kitatia team ndani ya Nyumba !
Itakuwa patashika nguo kuchanika !
And that time huyo Mwamba hatofanya makosa !
Atalala nao mbele kwa mbele mahasimu wake before it’s too late for him 😳 !
 
Tutakukumbuka daima Baba.

1.SGR ( Dar-Moro-Dom-Dar),
2. Mwl Nyerere HEP,
3. ATC,
4. Rushwa (imerudi upya).
Embu tutolee balaa hapa. Mungu katunusuru na kimeo unajifanya kukumbuka ushuzi. Hiyo miradi ushasoma report za CAG? ni hasara. Yule alikuwa mharibifu wa uchumi na hatari kwa wanaompinga.
 
Umesahau Nyerere naye alijaribu kujenga mfumo wa uchumi wa Ujamaa na Kujitegemea?
Results za sustainable development hazipimwe kwa mawazo na nadharia za viongozi au kupelekea kuundwa sera zisizo tekelezeka. Huo ndio ulikuwa uongozi wa Nyerere wakinadharia tu na itikadi performance na social impact Hakuna.

Magufuli was something else a doer, tunajenga; tunajenga hakuna hadithi nyingine. Umeme aukatiki au katwi.

Tunajitegemea, tutajitegenea bila ya misaada; ikibidi kukopa private banks. Sasa kukopa private banks inabidi vitabu vyako vya balance sheet na cashflow viwe sawa.

Misaada wazungu wanaitumia kama soft power, ukizingua wanaikata kwa sababu wewe ni tegemezi ukilia njaa baada ya kukatiwa. Ili wakurudishie masharti ni kufanya abc wanavyotaka wao.

Huo upuuzi Magufuli alisema no, hamuwezi tumia soft power ya misaada kutupangia moral value zetu au maamuzi yetu ya kuendesha nchi.

Magufuli was a man and a half, ni watu wa hovyo tu serikalini, majizi na sakapoko ambao uchangiaji wao JF unategemea vocha za watu wanaowapangia cha kuandika JF wanaweza mtukana Magufuli.

Magufuli hakuwa wa mzaha-zaha kabisa, R.I.P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…