Miaka kumi ya EWURA

koryo

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
639
278
Ndugu zangu msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Miaka kumi ya EWURA imeleta manufaa makubwa kwa wananchi kwa sababu zifuatazo.

1. Uchakachuaji umepungua kwa asilimia 78.

2. Serikali inapata kodi kubwa kutokana udhibiti wa EWURA.

3. Uharibifu wa magari yamepungua kutokana na EWURA kusimamia uchakachuaji.

4. Bei za mafuta zimekuwa angalau kwa wananchi kuliko ilivyokuwa hapo zamani. Kwa kweli hakuna Shirika la Serikali iliyokonga nyoyo za wananchi kama EWURA.

Mkurugenzi Mkuu fanyeni kazi nzuri sisi wananchi tuko nyuma yenu.
 
Back
Top Bottom