Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,619
- 7,421
yaan hata huo mguu mmoja wa hilo bwanga, ukishona ya uyo wa 2017 unashonea na kubaki, kwel noma noma sanaHilo bwanga noma asee..mguu mmoja wake unashonea suruali ya huyo kijana wa 2017
huyo ni same guy man.Hilo bwanga noma asee..mguu mmoja wake unashonea suruali ya huyo kijana wa 2017
sidhani mkuuhuyo ni same guy man.
Umemuiga yule mama mazoea wa ngoswe penzi kitovu cha uzembeMi nimeipenda hiyo sarawili kama kengele ya bomani
Yeah...Penzi kitovu cha uzembe....fasihi safiUmemuiga yule mama mazoea wa ngoswe penzi kitovu cha uzembe
kwa nini?Hiiiii huyo wa 67 akae mbali na mm
Halafu kuna watu wataona sawaHuwa nawaza tukifika 2025 aki kuna watakao tembea bila nguo
1967 hakukua na pictures za rangi tz