Zamani upembuzi yakinifu ulifanyika tofauti na leo mnakutana escape moa keshokutwa mnavishana pete I junta mnatuchangisha michango jumapili inayofuatia kitchen party wiki inayokuja ndoa!hiyo kasi hujaiona?manunuzi yore yafanyike supermarket kariakoo shimoni mkeo hapajui ndo mambo ya DART hayo safaris ya kambale wote wana ndevu.