Miaka 82 ya Ndoa

Kichuya

Member
Jul 9, 2016
55
30
upload_2016-7-13_12-42-11.png

Mume ana miaka 108; mke miaka 105! Wametimiza miaka 82 ya ndoa yao!!
 
Hahaa! Wacha nicheke...mwaga tofauti wengine tupate japo tuelimu tudogo mkuu!!
Zamani upembuzi yakinifu ulifanyika tofauti na leo mnakutana escape moa keshokutwa mnavishana pete I junta mnatuchangisha michango jumapili inayofuatia kitchen party wiki inayokuja ndoa!hiyo kasi hujaiona?manunuzi yore yafanyike supermarket kariakoo shimoni mkeo hapajui ndo mambo ya DART hayo safaris ya kambale wote wana ndevu.
 
Back
Top Bottom