Tuanze kwanza na kozi uliyosoma, yawezekana tatizo sio kupata kazi tatizo ni kitu ulichosomea.Habari wanaJF....
Toka nko Primary school (PS), walimu wetu walipenda sana kutusihi kusoma kwa bidii ili tufanikiwe kimaisha. Toka mentality hiyo ya PS, niliwekeza mda wangu kwenye kusoma kwa bidii ili niyaishi maisha wanayosema walimu wetu.
Nmesoma shule kwa takilibani miaka 16 (toka Primary school mpaka nachukua degree yangu) kwa juhudi kubwa sana. Hatimae mambo yaligeuka toka pale nilipomaliza chuo na kurudi mitaani kufuata maisha yale walimu wetu walituambia, chakushangaza mambo yako tofauti kabsa.
Sasa na miaka 8 toka nmemaliza chuo, sjawahi kupata kazi ya maana. Tofauti na vibarua vidogo vidogo baada ya kumaliza chuo. Si kwamba skutafuta kazi, nmezunguka almost mikoa 8 Tanzania, nmefanya interviews za serikali zaidi ya 20, private sector zaidi ya 60. Nmerudi nyumban wale niliowaacha la 7 na F4, wana nyumba, biashara wengine magari.
Conclusion:
Tanzania [emoji1241] elimu haina maana.
Aisee. Hujajaribu hata Fiverr ama Upwork ukafanya kazi online kama copywriting, mbona soko ipo watu wa IT.Information Technology (IT)
Thanks for your most exciting highlights...Elimu ni Kwa manufaa yako ndugu yangu. Pambana Kwa ajili ya kesho yako. Ajira yako itokane na akili yako, nguvu zako na utimamu wa mwili uliojaaliwa na muumba. Usiweke matarajio yako Kwa watu. Success lies on your own shoulders. It's your burden dude! Pambana!!
Hongera kwa kuchana vyeti nyuma ya keyboardHatusomi kuajiriwa bali kufuta ujinga ili tuyakabili mazingira,mi nilichana vyeti vyangu na naishi vizuri tu,njoo tulime kisomi
Asante kwa comment, mkuuElimu ina maana saana. Imekusaidia kuandika mwandiko vzr na kupangilia mawazo vzr Kama hivyo.
Elimu imesaidia wengi saana, pengine tunapima msaada WA elimu katika kupata Kazi nzuri na pesa. Huu ni mtazamo WA Karne iliyopita
Nafikiri lengo hasa la elimu lilikuwa kutoa maarifa ambayo yataweza kumsaidia kupambana na changamoto za maisha.
Pambana bila kukoma, badilisha mbinu zako unazotumia kujibu maswali katika interviews IPO siku utapata Kazi nzuri tuu.
Vile vile miaka nane ni mingi sana katika kutafuta kamtaji ili kuanza mdogo mdogo kabiashara au kilimo ili kujikomboa
Lastly, lazima vijana tukubaliane na ukweli kwamba nafasi za ajira ni chache incompariaon to graduates wanaoingia mtaani kila mwaka. Hivyo Kwa wale ambao wapo shulen ni vema kujiandaa kisaikolojia mapemaa... Na sio kulaumu... Lawama zetu sometimes zinaleta upofu WA kuona fursa zilizokuwepo kwenye mazingira yetu.